Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Nahisi matumizi yangu ni mabaya sana, afu wapo wadogo zangu wananitegemea, kwahiyo unajikuta salarry inaishia hewani tu.
Wadogo zako wasiwe kisingizio...wadogo zako wasaidie hata ukilala njaaa...hao ni ndugu zako.

Pambana jinsi ya kuongeza kipato, angalia biashara nyingine nje ya Mshahara. Unaweza kukopa pia hata kama Dini hairuhusu riba...ila kuna Bank zenye style inayoendana na imani, NBC nahisi inaweza kuwa moja wapo.

Pia jaribu kununua vitu/Matumizi ya nyumbani kwa mkupuo.
 
Mungu katuambia tutafute sana kama tutaishi milele, na tufanye ibada zaidi kama tunakufa kesho
Sishangai kwanini unateseka na maisha , kwa hii misimamo yako utateseka Sana hata ukiwa na milion 700.

Change your attitude first you'll sail otherwise utateseka sana.
 
Muda mwingine kwenye maisha kila mtu na njia anayopitia, na wala usiangalie mwenzio kafanya nini kwenye maisha bali angalia wewe maisha yako yanaendaje. Wakati wewe una 28 unalalamika hebu pata picha kidogo. "Obama alikuwa rais wa Marekani akiwa na miaka 40 na kumaliza muda wake akiwa na miaka 48 wakati huo huo Trump amekuwa rais wa Marekani akiwa na miaka 72." "Don't panic or blame yourself for not having something in your life but work hard, be humble stay true because God is the planner of everything in our life and also you will never understand Gods plan on you"

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Dah! pole sana best
Nimekuonea huruma kweliii yan mpaka nataman tuonane live.
Anyway Mm nyumba yangu ya kwanza nilijenga nikiwa na miaka 24 kipindi hicho nafanya kazi Bandarin hapa Dar.

Thanks lord Sasa hivi nina nyumba Tatu za kupangisha na namiliki Subaru Forester 2010 New Model.

Chamsingi weka budget yako vizur, be carefully na ndugu Tegemezi.
1) Too much rate of dependency might enforce failure your predetermined goals and objectives.
2) Develope Strategies
3) wekeza kwenye kilimo cha Umwagiliaji.
4) fungua mradi unaojiendesha wenyewe bila wewe kuhusika moja kwa moja
5) pls punguza Sex partners na beer.(I hope unao enventhough you have wife)
 
Baba yako alipata wakati huo ndugu au ni tamaa binafsi
 
Tatizo masikini wengi kiukweli HAWAPAMBANI kama wanavyofanya watu wenye maisha ya kati na mazuri!
Kiuhalisia masikini anatakiwa kufight zaidi sio kulialia.
KOMAA zaidi ya hapo na maendeleo yataonekana.
Well
 
Mwajiriwa unalalamika kuna wenye miaka hiyo hawana ajira wala biashara, wapo kwao wanabangaiza,

Jitume ushajua wapi umekosea basi rekebisha baada ya miaka miwili uje na mrejesho.
Sawa
 
Unajua hatua za kuanza kuwa na nyumba? Tafuta kiwanja, mdogo mdogo anza kujenga. Acha kulalama bila sababu ya msingi. Kusaidia ndugu kunapita, na saidia kwa kadiri ya uwezo wako sio kumsaidia mpaka unakosa kujiwekea akiba na uwekezaji.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
Wapo naishi nao hapa, ni wapwa wangu kwahiyo bajeti ya hawa ni daily, ndo wananiumiza
 
Wadogo zako wasiwe kisingizio...wadogo zako wasaidie hata ukilala njaaa...hao ni ndugu zako.

Pambana jinsi ya kuongeza kipato, angalia biashara nyingine nje ya Mshahara. Unaweza kukopa pia hata kama Dini hairuhusu riba...ila kuna Bank zenye style inayoendana na imani, NBC nahisi inaweza kuwa moja wapo.

Pia jaribu kununua vitu/Matumizi ya nyumbani kwa mkupuo.
Najichanga niingie kilimo cha ufuta
 
Muda mwingine kwenye maisha kila mtu na njia anayopitia, na wala usiangalie mwenzio kafanya nini kwenye maisha bali angalia wewe maisha yako yanaendaje. Wakati wewe una 28 unalalamika hebu pata picha kidogo. "Obama alikuwa rais wa Marekani akiwa na miaka 40 na kumaliza muda wake akiwa na miaka 48 wakati huo huo Trump amekuwa rais wa Marekani akiwa na miaka 72." "Don't panic or blame yourself for not having something in your life but work hard, be humble stay true because God is the planner of everything in our life and also you will never understand Gods plan on you"

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Thanks
 
Back
Top Bottom