Marahabaaa anko. Hujambo?
Asante kwa salamu hii ya heshima sana. Barikiwa sana anko [emoji1545][emoji1545]
Kiko wapi ?Una 300,000 Hapo nikuuzie kiwanja?
Kiko huku nkololo,simiyuKiko wapi ?
Mkuu maeneo gani?Una 300,000 Hapo nikuuzie kiwanja?
Karibu sana ankoo [emoji1545]Amen...... nmekumiss leo takuja kukusalimia
Sure mkuu!Hapo ukitaka kujichimbia kaburi, OA sasa na uwe na familia yani unajizika mzima mzima huo, ila JF pia isikuogopesha humu kuna Ma bazazi kibao kwenye nyuzi wakijitamba tamba ili kunasa mbebezi