Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

kutoa mimba ni ufahari au sijaelewa naombeni mnieleweshe huu uzi jaman!
 
Mambo mengine katika maisha huja baada ya tathimini ya atakaye beba majukumu,sidhani kama kuna haja ya kuharakia mambo ambayo hutokuwa na uwezo wa kuyatenda ipasavyo.
Pia maisha ni mipango.
 
nina miaka 26 alafu nina watoto wa5 kila mtoto na mama ake hapa najuta natamani ningekuwa sina mtoto hata mmoja
Kwa mwanaume ni jambo tu la kawaida mbona? We ongeza wengine watano maana ndio unatanua ukoo mkuu
 
Hahahhaaaaa! Thread zingine bhanaa...

Wengine hapa watapata head-ache...

Ishi kama wewe! Ishi wewe! Mwenzako akizaa ana miaka 18 sio na wewe uige...! Muda wako ukifika hata kama ni 40 utazaa tuu...!

No formula!
 
Hahahhaaaaa! Thread zingine bhanaa...

Wengine hapa watapata head-ache...

Ishi kama wewe! Ishi wewe! Mwenzako akizaa ana miaka 18 sio na wewe uige...! Muda wako ukifika hata kama ni 40 utazaa tuu...!

No formula!
Mkuu yani 40 ukatafute first born?
 
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza
Kwani lazima?

Maamuzi ya mtu mwingine yanakuhusu nini?

Akizaa utalea wewe?
 
hapana asa unaanza kupata watoto nawewe umepanga single room vp inapenya akilini brother iyo ishu
 
Back
Top Bottom