ephraim wahero
Senior Member
- Mar 24, 2016
- 139
- 26
ni maisha ndugu ndo ynatufanya kuchelewa lakin tungekuwa na faranga wote mbona mapema tuuuu
Acha mambo yako wewe. Kumbe nyie ndio mnazaa mkiwa na miaka 18 halafu mnatujazia Panya road na mbwa mwitu wakabaji huko mtaani. Unaona sifaKama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Acha upumbavu wako,usiishi kwa kukariri,kwa taarifa yako hao wana watoto kabla hawajaoaJay Z alimpata mtoto wake wa kwanza Blue Ivy akiwa na miaka 36..Kanye Kwest alimpata North West akiwa na miaka 35..Obama alimpata Malia akiwa na umri wa miaka 37...mswahili mmoja ambaye hana nyuma wala mbele analete uharo wake hapo..jinga kabisa
Mnaoogopa majukumu mnajulikana tuu,we unazani miaka 40 uzae utakuwa na nguvu ya kulea?? Inatakiwa hapo ndio uanze kulelewa na watoto,mtoa mada amekumbwa na mawazo ya mtaani. katika fikra zangu nikawa najua kati ya mitandao ya kijamii yenye watu wenye weledi wa kuchambua mambo ni jamii forum na twitter kumbe si wote wenye critical thinking ability kumbe.
Panya road mnawaleta nyie ambao mnazaa mkiwa mshazeeka ,mtu una miaka 45 mtoto wako wa kwanza ana miaka 15 unadhani unaweza kumdhibiti? Zaaa ukiwa kijana ndio unaweza kulea vizuri bobAcha mambo yako wewe. Kumbe nyie ndio mnazaa mkiwa na miaka 18 halafu mnatujazia Panya road na mbwa mwitu wakabaji huko mtaani. Unaona sifa
Kweli Mkuu, kuna watu walizaa tangu wakiwa na miaka 18. Wakiwa na miaka 30 wakawa na lundo la watoto. Bahati mbaya mungu akawachukua wrote na ktk umri wa miaka 40 ni kana kwamba hawajawahi kuzaa. Kwahiyo mtu aachwe afanye yake kadiri alivyojaaliwa na mungu
Ewalaa!! Mtoto siyo benki, nyumba ama asset yoyote useme itazalisha na kukupa faida.Pamoja na hilo Kiongozi, kuna watu hudhania kwamba kua na mtoto tu basi atakuwa na manufaa kwako.
Kuna watu hujuta kwanini walizaa, kila kukicha hujuta kwa madhila yaletwayo na watoto wao.
Hizi mambo hazina formula, kumuomba Mungu tu, hicho ndicho cha msingi.
Kwani mkuu ni matajiri wangapi wana watoto na watoto wao ni mateja?? Mateja,mashoga,Malaysia haijalishi ni familia gani wanatoka,acha uoga wa maisha zaa weweEwalaa!! Mtoto siyo benki, nyumba ama asset yoyote useme itazalisha na kukupa faida.
Mateja, mashoga, makahaba na ombaomba waliozagaa mitaani ni watoto wa watu hao.
Unapozaa unaijaza dunia tu. Mtoto kukusaidia ni majaaliwa yake mola. Kama vile wengine walivyosaidiwa na majirani.
Tuache fikira potofu kwamba unazaa ili mtoto aje akusaidie....akiwa teja? Akifa? Akiwa kahaba?
Usimtegemee mwanadamu (mtoto), imeandikwa utalaaniwa.
Kwani ukizaa mtoto atakuzuia nini kupata maendeleo? Watu wangapi wana watoto na wana maendeleo,na wangapi hawana watoto na hawana maendeleo?? Zaa wewe acha uoga wa maisha ,acha kuogopa majukumuKama we unawaza watoto wengine tunawaza maendeleo kwanza watoto baadae
Unataka apewe elfu 5 kwani shule anaenda kula au kusoma? Au anajitegemea,zaa wewe acha uoga wa maishaNdo hao mtoto anapewa elfu mbili ya matumizi akienda shule kisa anakimbizana kuzaa
Mkuu hulazimishwi kusoma nyuzi zangu,kiherehere chako tuNdio maana nikasema MMU ndio jukwaa pekee ambalo unaweza kuandika kitu chochote( kuropoka) bila japo kutafakari kidogo.
Unaongelea kusingiziwa mimba na abortion,hii inaonesha ni jinsi gani ulivo bado na akili ya kitoto
Kwani aliyekwambia anafanya ngono ili apate mtoto ni nani?
Maisha kama ni mafupi ndio nini?
Ni hatari gani ambayo mtu atapata endapo hataacha iyo legacy mtoto?
Mbona unajichanganya mjomba sasa mtu ambaye umeshamwambia hana kizazi ,sasa hao watoto wa kumuita babu atawatoa wapi
Huu ni udhalilishaji kwa watu ambao hawana kizazi.
Jichunguze nyuzi unazotoa hapa jukwaani.
Life is no all about mtoto.