ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,563
- 119,613
Bikra wa miaka 27?Kama ni bikra je nae ana matatizo
Bikra wa miaka 27?Kama ni bikra je nae ana matatizo
Bikra wa miaka 27?
Mmmh, miaka 27 hapana bwana!Haiwezekani?
Mmmh, miaka 27 hapana bwana!
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Mkuu mimi sijasoma international school ila waliosoma international school tulionana wote pale Udsm chuo na wote tunafanya kazi na wengine nimewazidi maisha kabisaDuuh, ndio nyie mnazaa ili mposti picha facebook, hata mtoto hajakatwa kitovu mshampost 'its a baby girl/boy' hata macho hajafungua, then after years unaanza waza ada ya international school ni ngumu unaishia mpeleka shule ya kata koz ulifata mkumbo wa facebook. All in all maisha hayana formula wala hakuna mashindano ya kuzaa live your life.
Nyie mnaochelewa kuzaa ndio hata uzazi wa mpango hamfuati,mnazaa watoto wamepangana kama ngazi kwa sababu unakuwa na haraka ya kuzaa kutokana na kwamba umri unakuwa umekimbiaWewe ndiye unayepende kuendeleza utegemezi na kuleta lawama katika familia.
Maisha ni magumu na wakati huo huo unasema ni mafupi.
Sasa unataka ukiondoka duniani umwachie nani huyo mtoto? Zaa kwa mpangilio na hakikisha mtoto unakuwa na uwezo wa kumtunza. Sasa unataka uzae alafu umwache mtoto kwa baba yako na mama yako (Bibi na Babu) ndio wamlee?
Miaka 27 bado unategemea wazazi? Basi wewe umepungukiwa akili,miaka hiyo watu wana nyumba ww ndio unakaa kwa wazaziKuzaa zaa ovyo sio dili siku hizi wewe. Wengine miaka 27 wanakuwa bado maisha hayaeleweki Na wanategemea wazazi kwa kila kitu. Atazaaje??
Dah, aisee! Jilipue tu, kwa hiyo maisha yakoendelea kuwa magumu utafanyaje?Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
Wewe ndiye ulopost mada "Kuanzia leo situmii tena condom"?