Huna plan zozote wewe nakujuahahahaha..... nimebaki nastaajabu hapa....narudia tena
SiO LAZIMA KILA MTU AZAE.......SIO LAZIMA KILA MTU AWE NA MTOTO.
kila mtu ana plan zake kwenye maisha YAKE!
Ndo kasema ujichunguze ili kama upo hivyo basiWengine hawana vizazi.. siyo makusudi yao..
Kumbe 27 bado hujafika?hahahah huwa nawaza pia naogopa hata mimba ya kisingizio sijawahi, duh i should consult my gyno sasa.... no ila bado nikifika 27 ntaanza kujiuliza kikubwa
Hakuna kitu kama hicho.mmmh..! lakini kuzaa mtoto bila ya kumjengea future ya kueleweka iv sasa ni janga kubwa kwa taifa pia"
Ni lazima.hahahaha..... nimebaki nastaajabu hapa....narudia tena
SiO LAZIMA KILA MTU AZAE.......SIO LAZIMA KILA MTU AWE NA MTOTO.
kila mtu ana plan zake kwenye maisha YAKE!
Hooo.Kumbe 27 bado hujafika?
Una mingapi? Nataka tuongee kiutu uzima.
Hapo sasa,,mbona wengine tuna watoto watatu na mambo yanaenda fresh tuu.kila binadamu ana future na mipango piaNi lazima.
Kwasababu ni sehemu ya Maisha.
Kwani huwezi kuwa na Mtoto na mipango ikapangika?
Mnavyosema hivyo, utafikiri sie wenye Watoto hatuna mipango
Ukifika 27ukajiulize mkuu,maana haiwezekani umri huo mtu kusiwe na matokeo yoyote iwapo unafanya ngono tena bila zanahahahah huwa nawaza pia naogopa hata mimba ya kisingizio sijawahi, duh i should consult my gyno sasa.... no ila bado nikifika 27 ntaanza kujiuliza kikubwa
kheeeeee ! kwaio kua na mtoto ni lazma hahahahaha....unaumwa ww...Ni lazima.
Kwasababu ni sehemu ya Maisha.
Kwani huwezi kuwa na Mtoto na mipango ikapangika?
Mnavyosema hivyo, utafikiri sie wenye Watoto hatuna mipango
wengine hatuna interest hio sasa....msilazimishe hobby...Hapo sasa,,mbona wengine tuna watoto watatu na mambo yanaenda fresh tuu.kila binadamu ana future na mipango pia
Ufafanuzi kidogo mkuu, sijakuelewa.Hooo.
Barubaru linaziingizia.
Haponi Mtu hapo
Tumia akili bro, badala ya mk+#duKama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza![]()
![]()
![]()
well organized facts brother!! thanks for your timeNdio maana mnazaa watoto wanaishia kuzagaa mitaani na mkiwapeleka shule basi zile za kidumu mkononi,1st born wangu nilikua na 30 years nilikua na uhakika wa kumlea katika njia sahihi ingawa wadogo zangu walinitangulia ila niliweka malengo mtoto aje anikute nimefanya ABC's sio nisake mtoto kisa umri.
Pata mtoto ukiwa na miaka 18 na mimi 30 ila muhimu wapate malezi bora sioni sababu ya kukimbizana kama wataishia mtaani tu,kwa wale ambao wanahisi wamechelewa fanyeni vitu kwa mipango siku hizi hakuna zile za mtoto kulelewa na babu na bibi au ba'mdogo lazima tujipange hakuna haja ya kuwasikiliza haw wanaowaaminisha eti lazima mtoto aje ukiwa umri fulani.

na suala la kuzaa ni la mtu binafsi na hamna mahali imeandikiwa ni lazimaKila mtu na mipango yake
Yataka moyo kuoa na kuzaa huku future huioni??
Safi saaana we need people like you in our society. thanks brotherkwakweli mimi binafsi hua niko bize sana kiakili.kiroho na kimwili kiasi kwamba hua nasahau kua huo mchakato wa kuoa na kuolewa upo ili mtoto apatikane.....mtoto wa nje staki sababu mimi binafsi nimezaliwa kwa wazazi waliofunga ndoa halali kabisa...kwahiyo siku nikipata muda nitafunga ndoa ili nizae watoto...ila kwasasa mke na watoto siyo kipaumbele visubiri kwanza.
