Senator Hans
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 600
- 377
Kama mungu alikpangia kuzaa utazaa tuuu no matter mda gan umeoa
Acha kusapoti ujinga,well organized facts brother!! thanks for your time
Mkuu inaelekea wewe huna dini,imeandikwa "nendeni duniani mkaijaze dunia",sasa sielewi we unazungumza kitu gani.kama mungu kakupa uwezo wa kuzaa harafu wewe hutaki kuzaa basi hakika nakwambia moto wa milele unakusubiri,maana huitendei haki kazi ya munguna suala la kuzaa ni la mtu binafsi na hamna mahali imeandikiwa ni lazima
Mi sielewi ni future ipi mnayoisema,ukute nyie msio na watoto ndio hata cha maana hamnaSafi saaana we need people like you in our society. thanks brother
Sio kwa maisha ya sasaI play safe
Sio kwa maisha ya sasa
Umeleta mada uchwara haina supportive sources. So lazima nisapot mawazo murua ka hayaAcha kusapoti ujinga,
Mvizie siku ya 14 kuanzia siku ya kwanza aliyoanza MPSawa wengne CIO mafund so tunahitaj xemina kdogo .make anaenda bleed xku 4 umvizie cku IPI?
Aliokuambia kua na Mtoto ni chaguo la Mtu ni nani?kheeeeee ! kwaio kua na mtoto ni lazma hahahahaha....unaumwa ww...
kua na mtoto ni CHAGUO LA MTU....sio lazma.....kila mtu ana mipango yake kwenye maisha....
we kama mpango wako kuzaa....zaa, ila huo sio mpango wangu...usilazimishe...
Ni kautani tu.Ufafanuzi kidogo mkuu, sijakuelewa.
Mkuu wewe umepanga kumpata ukiwa na mingapi,maana umeongea kwa uchungu mkubwa,mtoa mada kakugusa hadi kwenye sakafu ya moyo wako,Lol!Mkuu lazima ufahamu kwamba kila mtu has gotten his own perspective juu ya maisha, na through hiyo perspective ndipo anapoendesha maisha yake.
Hiyo moja, lakini pili unachoamini wewe kuwa ndio purpose of human life na source of happiness to human life sio lazima na wengine waamini hivyo.
Tatu, kuna issue ya being endowed naturally, kwa maana ya kwamba kuna baadhi ya watu hukosa vizazi, je nao wayachukie maisha kwa sababu wanashindwa kuzaa kipindi watakacho wao?
KUNA WATU WANGAPI WAMEZAA MAPEMA, LAKINI BADO WAKO NA MISERABLE LIFE, LAKINI HAPO HAPO WAPO WATU NI AGED NA HAWANA HAO WATOTO/WANAO KATIKA UMRI MKUBWA STILL WAKO HAPPY WITH THEIR LIFE?
Maisha ni jinsi unavyoyataza tu, has gotten nothing with its events.
Mkuu hayo ni maneno ya mkosaji,debe tupu haliachi kutikaWewe yanakuhusu nin?? Hawataacha legacy... hao walioacha nani anawakumbuka. Alafu ukikumbukwa.. kaburi lako linakuwa bar???
Suala sio kulazimisha.wengine hatuna interest hio sasa....msilazimishe hobby...
kuwa na mtoto na kulea ni Hobby ya mtu....
Asante mkuu,maana inaelekea wakosaji ni wengi sanaSuala sio kulazimisha.
Ikiwa wewe ni Mwanaadam, umekamilika/uliekamilika, na una Matamanio.
Basi hata kama hukuwa tayari, kuna kitu kinaitwa hata kwa bahati mbaya itatokea.
Wapo Watu ambao hawakuwa kabisa na mpango wa Watoto, lakini kutokana na kushindwa kujizuia matamanio ya kimwili, walijikuta wameshakuwa na Watoto, na ikawalazimu kulea bila kupenda.
Labda wewe uwe Malaika.
Au hufanyi kabisa tendo la Ndoa, au hukuwahi kabisa kufanya tendo la Ndoa.
Kitu ambacho hakiwezekani, yaani Maisha yako yote wewe iwe Punyeto
Hawana hoja hao.Hapo sasa,,mbona wengine tuna watoto watatu na mambo yanaenda fresh tuu.kila binadamu ana future na mipango pia
Yaani wanaposema mipango,utadhani sie wenye watoto basi hatuna mipango.Hawana hoja hao.
Hii mada imewabana kote kote.
Wanabaki na kisingizio chao kimoja ambacho hakina nguvu hata kidogo.
Eti mipango, wanajipanga.
Kweli wanacheza
Pamoja sanaAsante mkuu,maana inaelekea wakosaji ni wengi sana