Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,075
meningitis
Yapo maswali kadhaa ambayo mkuu Meningitis nawe wapaswa kutujibia.
Je kama kweli mnaamini Lowassa ni fisadi papa, kwanini hadi hivi leo mlikuwa hamjamburuza mahakamani kumshitaki kwa tuhuma hizo za ufisadi?
Kama serikali ya CCM ilikuwa na uthubutu wa kuwaburuza mahakanani mawaziri waandamizi akina Basil Mramba na Daniel Yona kwa matumizi mabaya ya madaraka hadi hivi majuzi wanehukumiwa na hivi sasa wapo gerezani, ni kwa nini basi tuhuma za ufisadi wa Lowassa kuhusu Richmond tokea mwaka 2008, serikali ya CCM hadi hivi leo imezimezea?
Ni kwa nini tambo zote za Nape wakati ule kuwa CCM itawavua nagamba wale iliowaita mafisadi papa, ambao ni yeye Lowassa, Rostam na Chenge, CCM ikashindwa kabisa kuwavua magamba hayo hadi mmojawao Chenge akatamba kuwa gamba limeshindwa kuvuka na badala yake limeishia kiunoni?

Last edited by a moderator: