Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

kuna mazombi dunian ila ww ni zombi la mwisho yaan ht hujitambui una akili ndogo km ya kuku make unacho kizungumza humu ni ujinga mtupu kwan hiyo chadema huioni mika 10 nyuma na leo ulinganishe!au kuku ni kuku tu et? make anaongoza kwa kusahau!
 
Yani pasi hadi kwenye goli,hakuna la mkono mwaka huu!
 
Hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi. Iwapo Lowassa ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ni lazima CDM wamtumie! Lengo ni kuing'oa CCM madarakani! Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri kwa CCM kung'oka hata kama ni kwa mbinu chafu! Mengine baadae!
naona hii post unaicopy na kuipost kila mahali. kwa hiyo unamaanisha lowasa ni gaidi? hivi akiambiwa na vijana wake atajisikiaje kuwa mnamuita gaidi? kuweni na simile, du!
 
Mpaka sasa tangu lowasa ahame nikajua CCM watashangilia kumbe ni kulialia tu.
 
meningitis

Upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm mwalimu
 
Last edited by a moderator:
meningitis

Leo nimeshuhudia mpaka CCM wao kwa wao wanapigiana kampeni nashangaa wewe unalialia.
 
Last edited by a moderator:
Hii inanikumbusha mpigania uhuru wa Sudan kusini hayati John Garang, aliwaaminisha wa south Sudan kama serikali ya Khartoum ndio adui yao mkubwa, Miaka akahamasisha watu wa kusini wapigane na Khartoum, maelfu walikufa wakiamini maneno yake, baada ya kuitwa na rais na kuahidiwa kuwa makamo wa rais akayafanya kama ya mbowe kurudi kusini na kuwaaminisha wasouth kuwa serikali na Al Bashir haikuwa na tatizo kabisa, baada wiki kadhaa tu alipokuwa makamo wa rais helicopter yake ilitunguliwa na akafa akiwa msaliti kabisa, nafananisha na hawa chadema miaka 22 ya ulaghai inaishia mikononi mwa wale wale maadui wake,
 
Mission ya Chadema ni kuindoa ccm madarakani tu...then what???

Makongoro ni msafi sio fisadi...alitumwa kumuobdoa fisadi mwenye nguvu ndani ya chama tawala na sasa fisadi kaibuka kwa sura ya upinzani ataondolewa tu!

Ukitaka kujua msimamo wangu nisome katika threads zangu utaelewa.Hata hii itafakari na kuielewa halafu jiulize kwa nini iko katika mfumo wa swali!
Naona huo ugonjwa wako wa Miningitis umepanda kichwani ukipata matibabu utarudi sawa pambafu
 
Last edited by a moderator:
mimi sjawahi kuamini siasa za vyama nchi hii bali watu binafsi! Ndo maana siuoni ukombozi ukitokea ukawa
 
Hii inanikumbusha mpigania uhuru wa Sudan kusini hayati John Garang, aliwaaminisha wa south Sudan kama serikali ya Khartoum ndio adui yao mkubwa, Miaka akahamasisha watu wa kusini wapigane na Khartoum, maelfu walikufa wakiamini maneno yake, baada ya kuitwa na rais na kuahidiwa kuwa makamo wa rais akayafanya kama ya mbowe kurudi kusini na kuwaaminisha wasouth kuwa serikali na Al Bashir haikuwa na tatizo kabisa, baada wiki kadhaa tu alipokuwa makamo wa rais helicopter yake ilitunguliwa na akafa akiwa msaliti kabisa, nafananisha na hawa chadema miaka 22 ya ulaghai inaishia mikononi mwa wale wale maadui wake,

Chama kimetekwa nyara tayari
 
Leo hii sudan kusini wana taifa lao kamili....malizia
 
Bado rostam...chenge..karamag...tibaijuka...kingwengwe ..ngeleje sijui mtawapokea ?
 
si tulisema kuwa jama hawa wanasumbuliwa na njaa tu,hakuna cha ukombozi wala nini.
ukombozi utajikomboa mwenyewe na si kutegemea wasakatonge eti wakukomboe
 
Hilo Taifa halijaletwa na Garang, Garang alikufa akiwa kibaraka wa Serikali ya Al Bashir, alikufa akiwa msaliti wa Taifa

Hilo la usaliti ni lako....sudan kusini wamempa heshima ya baba wa taifa.

wakati akiwa makam raisi Sudan yaliwekwa makubaliano ya kufanyika kura ya maoni kuamua kujitenga au la kwa sudani kusini
 
Back
Top Bottom