Kwa hiyo CHADEMA baada ya kumtumia Lowassa na kuisambaratisha CCM watakuja kumuua kama Marekani walivyomuua Osama?
Hizi hoja hizi?
Yetu macho na masikio!
Try to "think Big!"
Kwa hiyo CHADEMA baada ya kumtumia Lowassa na kuisambaratisha CCM watakuja kumuua kama Marekani walivyomuua Osama?
Hizi hoja hizi?
Yetu macho na masikio!
Bora turudi kwenye misingi ya nchi na ACT
Zitto akisimama vizuri atapata wabunge wengi sana
Zitto mnafikii yule
Mission ya Chadema ni kuindoa ccm madarakani tu...then what???
Makongoro ni msafi sio fisadi...alitumwa kumuobdoa fisadi mwenye nguvu ndani ya chama tawala na sasa fisadi kaibuka kwa sura ya upinzani ataondolewa tu!
Ukitaka kujua msimamo wangu nisome katika threads zangu utaelewa.Hata hii itafakari na kuielewa halafu jiulize kwa nini iko katika mfumo wa swali!
Nani aliyethibitisha ufisadi wa ccm kama systen?And CCM should stay, for what... Makongoro sio fisadi.. hana vision...... huo ufisadi wa ,Lowasa ulithibitishwa na nani.... au unasikia ya kuambiwa na wewe unaweka kichwani...... Hii nchi itaongozwa vizuri iwapo CCM watangoka.....
Tunataka wangoke full stop.... by any how.
Chadema watu wanarudisha kadi sasa..u can fool some people sometime, but you cant fool all the people all the times
Bado rostam...chenge..karamag...tibaijuka...kingwengwe ..ngeleje sijui mtawapokea ?
Kwa nini Chadema hawakwenda mahakamani na ile list of shame?huo ndio ulaghai ninaouzungumzia!!CCM haina chakutuambia wananchi zaidi ya kuamini kuwa LOWASA sio fisadi... haiwezekani afanye ufisadi na miaka yote hiyo kupita aachwe tu! hata mahakamani asipelekwe. NIMEAMINI LOWASA HANA TATIZO! Kwa serekali makini chiniya CCM, lazima ange wajibishwa nakufilisiwa! kwakua hilo halijafanyika! lowasa alizushiwa tuu! na watanzania wenye kuelewa tunaamini hivyo... ccm wanajua ukweli kuhusu tuhuma za LOWASA... kama walishindwa kumtumia acha atumiwe na wengine.
Ndio maana ulipigwa ban kwa matusi ya kitoto namna hii.[/QUOTE
Ban wemeanza Leo kwan
Mnakera mno...khaa kwan shl ngapi?Peopleeesss???
And CCM should stay, for what... Makongoro sio fisadi.. hana vision...... huo ufisadi wa ,Lowasa ulithibitishwa na nani.... au unasikia ya kuambiwa na wewe unaweka kichwani...... Hii nchi itaongozwa vizuri iwapo CCM watangoka.....
Tunataka wangoke full stop.... by any how.
Kwa nini Chadema hawakwenda mahakamani na ile list of shame?huo ndio ulaghai ninaouzungumzia!!
swali lowasa kafisadi nini tumuulize katibu mkuu wa cdm slaa alimtaja mwembeyanga kule.je slaa alituongopea? au pesa inaongea?[/QUO
Jina la LOWASA lilikuwa langapi kwenye list ya SLAA..... wimbo wa ufisadi mmeuimba sana CCM........ kana kwamba baada ya lowasa kutoka hakukufanyika ubadhirifu wowote....ESCROW, HATI CHAFU ZA KILA WIZARA, zote hizo ni kazi za Lowasa sio.......... hilo chakatunachoma moto soon.....