meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Je ni miaka 20 ya ulaghai ya Chadema kwa wananchi?
Je ni miaka 20 ya kuleta chaos nchini?
Je ni miaka 20 ya kubwata majukwaani bila malengo?
Je ni miaka 20 ya matumaini hewa?
Je ni miaka 20 ya kutumiwa na ccm?
Je ni miaka 20 iliyoenda bure?
Je ni miaka 20 inayoishia kwenye usaliti?
Je ni miaka 20 ya uwoga na kutojiamini?
Je ni miaka 20 ya kushindwa na kujisalimisha kwa Mafisadi?
Je ni miaka 20 iliyoshindwa kuwashawishi watanzania?
Je ni miaka 20 ya mazingaombwe?
Au ni miaka 20 ya kuanza kujipanga?
Au ni miaka 20 ya kukosa uvumilivu?
Yako maswali mengi sana yataulizwa in the next 3 months ...!
Majibu ya maswali haya yataonekana octoba 26.
HAKUNA HAJA TENA YA GOLI LA MKONO.