Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

Dr Slaa anaelekea kujitoa kwenye kundi la ulaghai.dhambi ya ulaghai na kupotezea muda watanzania ni mbaya kuliko maelezo.
 
Miaka zaidi ya 50 ya uhuru.bado taifa linatembeza bakuli kuomba hats misaada ya kuchimba vyoo mashuleni,kununua madawati,nk ili hali rasilimali tunazo!watu wengine bwana!hamwoni hilo?mnaona miaka 20 ya chama ambacho hakijawahi kuongoza dola.? Ingefaa uwaulize waliopo madarakani kwa nini Tanzanis hadi sasa ni ombaomba licha ya madini tuliyonayo,misitu,bahari na bandari,ardhi bikra kabisa ifaayo kwa kilimo cha mazao yote,na idadi kubwa ya nguvu kazi.?Katika mazingira ya kaeaida kabisa nani laghai?CCM ndio wametulaghai Watanzania.
 
Back
Top Bottom