Mwana kinyonga
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 377
- 216
Hv huyu mwanajamv yuko wap cku hz,na ile signature yake ya mia.
Figanigga mara ya mwisho alionekana zanzibar akifukuzia mrembo waliyekutana mmu,naona alioa na kuzamia huko huko.
yupo dodoma anauza mafuta ya ubuyu
...huruma ya nn tena. Preta