Mi nilishindwa sijui nyie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mi nilishindwa sijui nyie.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by uporoto01, Aug 15, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mmmh atataka sikuzingine mkumbushie pia..
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  huyo alikuwa bado anakupenda........
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo kuwa na urafiki na ex?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  inawezekana alitingisha kiberiti
  na kukuta cha gesi lol
   
 6. m

  mareche JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  awali ni awali tu mkaribishe umpe anacho hitaji huyo acha ushamba man
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Are you readyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??!!!!!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hamna ubaya wowote kua marafiki baada ya penzi kufa...unless marafiki zako wote una mapenzi nao!!!
   
 9. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Kwakuzingatia mlivyoachana nakushauri uachane na huyo fool. Anataka akuweke spare tire siku moja yakivurugika huko aliko akutumie. achana nae she a fool. Mngekuwa mmeachana kwa amani eg ulienda kusoma nje ya nchi au mkoa mwengine sawa lakini ugomvi na nyodo - that chapter is done bro. achana nae
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bado anataka kumegwa huyo. Sasa wewe usilete ajizi! Mmege...kama hutaki muunganishie mshikaji.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  si ndio hapo sasa.

  aliniacha yeye tena kwa mbwembwe na angekuwa wa uswaz angenilitea matarumbeta kabisaa.

  ndio maana nimesema mi nimeshindwa,siwezi.
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hhahahahahahahah.....Hivi hayo mambo ya kupigiana pass bado yanaendelea??

  Nilidhani vijana wa dot com hawafanyi kama sisi wa 1947!! Enzi zile tulikuwa tunawatumia wajanja vizuri hata kuanzisha michakato ingawa wengine walikuwa na tabia mbaya ya kufanya majaribio kabla ya kurusha pande kwa mlengwa!!
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama mliachana vibaya nakushauri uendelee kumpotezea, huezi jua ana lengo gani!..
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha! alibeep nikampigia lol!

  nimeshasahau siwezi kurudi nyuma,mbele daima.

  nope.
   
 15. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sasa unambania ili iweje?
   
 16. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkiachana urafiki mwingi unakuwa ni wa mashaka, na wivu kibao,anaweza hata kukuharibia kwa mwanamke wako mpya
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Umenikumbusha thread ya usitingishe kiberiti....lol
  huyo dada ilibidi aione....
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tuliachana vibaya sitaki hata kumfahamu tena.Nawapenda rafiki zangu lakini sijawahi kuwa na rafiki ambaye ni ex wangu.

  umenielewa asante.

  hili la kumega tu hapana,sitamuunganisha na mtu nafahamu tabia zake,ni mrembo wa haja atapata hukohuko.
   
 19. One and Only

  One and Only Senior Member

  #19
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I can not imagine urafiki wa kawaida na mtu ambae tayari mshafanya mambo kadhaa....

  Ila ipo ile ya kushirikiana once in a while, nayo sio ya mazoea na kufuatiliana...
   
Loading...