Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Sawa kabisa babu, tunaongelea kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake mengine, hapo kwenye kutamaniana ni mbali sana na wala halipo kabisa kama watu mmeachana with genuine reasons but still haimaanishi kwamba mkikutana hamwezi kuongea au ukamsaidia mtu kama ana shida ya kibanadamu ambayo unaweza kumsaidia binadamu mwingine yoyote
Kwani wewe ndo binadamu pekee anayewza kumsaidia???
Huo ndo mwanzo wa kukumbushana mapito ya kale...kalaghabaho!