Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
Mhhhhh...Mima naona hiki kizazi cha dot com kimetokea sayari nyingine...Yaani uwe na urafiki wa kawaida na mtu ambaye uko kwa ajili yako 24/7???
Kwetu sisi tuliopita kwenye ile mikono mitukufu ya wababu/wabibi na kufuzu...hayo mambo ya Ma-Ex hatukuwa nayo na kama ilitokea basi hizo ni miongoni mwa siri ambazo unakufa nazo au unazitoa kabla ya kurudisha namba kama yule bibi wa Titanic!!