Mi nililia kwa hasira,wewe je??

Mi nililia kwa hasira,wewe je??

mtoa mada?kwenye title unatuuliza na sisi kama tumelia?kwenye kisa chako au vya kwetu?wengine tunalizwa kwa maraha sio karaha!
 
mtoa mada?kwenye title unatuuliza na sisi kama tumelia?kwenye kisa chako au vya kwetu?wengine tunalizwa kwa maraha sio karaha!

Basi tu ila wale wanaonyemelea mahusiano,mapenzi,au ndoa kabisa...
Inawahusu zaidi...
 
Yalishatokea mengi zaidi ya hayo
Mwaga Story sasa maana hii inaleta uchungu na Simanzi tunaisubiri au mpaka kesho?
maana User wanatosha kukupeleka hadi alfajiri
There are currently 50 users browsing this thread. (7 members and 43 guests)
 
Mwanaume unalia lia,kama toto!!

Yeyote aliyewahi kupenda,narudia tena KUPENDA... lazima kuna wakati alipata kulia.. LAZIMA,si kwa kuumizwa tu.. Lazima penye penzi pawe na chozi pia..
 
Mwaga Story sasa maana hii inaleta uchungu na Simanzi tunaisubiri au mpaka kesho?
maana User wanatosha kukupeleka hadi alfajiri
There are currently 50 users browsing this thread. (7 members and 43 guests)

Kipindi cha uchumba chenyewe,nilipata kisa kingine..
Alipigiwa simu mida ya saa 2 usiku..huyo jamaa alikuwa Dubai..na alikuwa akimwambia amletee zawadi gani?
Akamjibu yoyote,mi nikachukia.
Akamwambia akifika,atafikia Holiday Inn,kwa hiyo aje aende kuchukua zawadi,akamjibu kwa pozi kama vile anasikitika,eti ana mchumba,na mbona haamini wakati alishamjulisha alipompigia..
Nikachukia tena..ina maana wana mawasiliano ya mara kwa mara..
Ina maana mchumba wangu alikuwa koloni lake...
Uliza kilichoedelea baada ya kukata simu..
 
Kilichofuata baada ya kukata simu,nikamwomba kwa upole simu,nikatoka nayo,usoni mpole kabisa,lakini moyoni nina hasira kama za nyati aliyejeruhiwa..

Kama kuna wakazi wa Dar,hiyo ilikuwa ni K'nyama,barabara ya sayansi, kipindi hicho pakiitwa "maji machafu".. Kama unaenda kwa Ali Maua,na kabla ya Heko bar. Kushoto kulikuwa na jamaa anachoma mishkaki..
Nikamwambia akimaliza,nami nina nyama yangu nahitaji kuchomewa..
Alipomaliza nikamkabidhi ile simu ya mchumba wangu..
Akakataa kuichoma. Watu walishaanza kujaa kidogo, wakanisihi kama vipi niwauzie, nikawaambia waniache maana ile siyo simu,ni nyama!
Nikaichukua mwenyewe, nikaitia kwenye wavu..

Dk 2 au tatu zilitosha kabisa kuleta matokeo niliyotaka. Nikaomba mfuko,niweke nyama yangu,na nikauliza kama kuna gharama,wakajibu naweza kwenda.

Nikaelekea nyumbani na mfuko wangu...
 
Mh..
Naogopa kupenda tena!
Halafu ikaweje? baada ya kumpelekea huo mshikaki wa simu yake, maana lazima angekushangaa kwani mawasiliano yaliendelea kwa handset ingine
Hebu mwaga hako kaTrue Story
 
Duuu kweli ulipenda Mkuu,sasa na wewe uliona kabisa huyo mwanamke ana buzi we ulijiingizia nini au ulikuwa naye kabla,pole rudisha moyo nyuma date mwingine ila kwa maobi upate mke mwema,je wewe ulishawahi kumfanyia ubaya mwanamke mwingine yoyote ,maana malipo ni hapa duniani??
 
Duu ushasema ni marehem ya nini kuja kumchambua hapa??

Let her rest in peace cz kuendelea kuhold mabaya na machungu ni sign tosha hujamsamehe na even if alitubu before hajakata kauli its obviouz msamaha wake uko pending bcz of u

Let the rain wash awayyy al the pain of yesterdayyyyyy......

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Halafu ikaweje? baada ya kumpelekea huo mshikaki wa simu yake, maana lazima angekushangaa kwani mawasiliano yaliendelea kwa handset ingine
Hebu mwaga hako kaTrue Story

Nilipoingia ndani,nilirudi hasira zikiwa zimepungua. Cha kwanza alichouliza ni simu yake..
Mi nikampatia ule mfuko. Akauangaliaa... Akawa hana swali,hana jibu. Ilikuwa ni Samsung fulani hivi zenye area,nyingi za rangi ya blue hadi screen yake.
Tulizoea karibu kila siku tuna do,siku hiyo ilipita hivi hivi.
 
Duuu kweli ulipenda Mkuu,sasa na wewe uliona kabisa huyo mwanamke ana buzi we ulijiingizia nini au ulikuwa naye kabla,pole rudisha moyo nyuma date mwingine ila kwa maobi upate mke mwema,je wewe ulishawahi kumfanyia ubaya mwanamke mwingine yoyote ,maana malipo ni hapa duniani??

Mi niliamua kumdate kwa kuwa alinivutia,sikujua kama ningempenda. Nilisema tu mzee Eng akija ntamwachia uhuru wake,nami najua nafasi yangu ipo tu..
Si ndiyo nikakolea mkuu..
 
Duu ushasema ni marehem ya nini kuja kumchambua hapa??

Let her rest in peace cz kuendelea kuhold mabaya na machungu ni sign tosha hujamsamehe na even if alitubu before hajakata kauli its obviouz msamaha wake uko pending bcz of u

Let the rain wash awayyy al the pain of yesterdayyyyyy......

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nakupata mkuu Toria .... Mada yangu ilikuwa kuwashirikisha wana MMU mambo yasiyotegemewa kutokea kama hayo,na yakatokea karibu na siku kubwa kabisa kwa wanadamu..
Muendelezo ulikuja kutokana na stori yenyewe na maswali ya wadau wengine..
 
Last edited by a moderator:
yani nimejaribu kusoma sijaelewa,sijui ata kilichomliza mkuu,aliomuelewa pls
 
Duu ushasema ni marehem ya nini kuja kumchambua hapa??

Let her rest in peace cz kuendelea kuhold mabaya na machungu ni sign tosha hujamsamehe na even if alitubu before hajakata kauli its obviouz msamaha wake uko pending bcz of u

Let the rain wash awayyy al the pain of yesterdayyyyyy......

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

umejuaje kama alitubu? kwani mtu akifa ndiyo hairuhusiwi kushare experience ya mabaya yake? tuachane na taboo zisizokuwa na maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom