trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
- Thread starter
- #141
duh! watu mmepitia majaribu lol!
We acha tu mkuu....
duh! watu mmepitia majaribu lol!
Haukuwa umelia muda mrefu tu.Machozi yalijaa kwenye macho ukayatafutia kisa ambacho hata hakilizi.
Mi naona wanichanganya tu
pole kwa kufiwa na mke
Tulianza na kondom hadi pharmacy za maeneo ya kijitonyama pale wakawa wanatujua...
Tumetumia sana kondom...
Mapenzi yalivyokuwa yamenoga,hata ningeambiwa ana vvu,ningemwacha mwezi tu ningemrudia...
Alikuwa negative,alijifungua kwa CS,operesheni ya uzazi, fast track ya Muhimbili. Dr Thomas alimzalisha,kwa wanaomfahamu.
Mi ni mpimaji vvu pia,au niseme ni mshauri nasaha.. hutokea nikajipima..
Hongera mkuu kama uko salama, na pole sana kwa kumpoteza mke na kukuachia watoto/mtoto mchanga/mdogo. Uko free kuoa ila sasa uwe makini zaidi kwa kumwomba Mungu akuchagulie ubavu wa ubavu wako na kitu cha kwanza kabla ya tunda ni kupima. Kila la heri.
Niliwahi na Mpaka sasa nimethubutu kupenda MNO!Umeshawahi kupenda kwenye maisha yako mkuu??
Umewahi?
Niliwahi na Mpaka sasa nimethubutu kupenda MNO!
Nikajihesabia imekula kwangu...
Sijakuelewa kabisa!
pole jembe