Mi nililia kwa hasira,wewe je??

Mi nililia kwa hasira,wewe je??

daah sasa wewe uliona kabisa mtu hakupendi,hajatulia bado ukampapatikia jamani? pole kwa yalotukuta bado yupo na huyo mzee?

Tulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana Smile ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
 
Last edited by a moderator:
daah sasa wewe uliona kabisa mtu hakupendi,hajatulia bado ukampapatikia jamani? pole kwa yalotukuta bado yupo na huyo mzee?

Tulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana Smile ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu kumbe alishafarikikwa hiyo kakuacha mume na hawara na watoto?poleni sana jamani
 
trachomatis pole sana kwa maana hiyo dada alishatangulia mbele za haki?.

Yap.. miaka miwili iliyopita..
Guess what,kwa sasa nafurahia maisha kuliko nilipokuwa naye!
Kama waliotangulia ahera,wana uwezo wa kuwaombawapenzi wao waliowaacha duniani,wawarudishe ili waishi tena pamoja,mi NINGEMKATALIA abakie hukohuko...
 
Last edited by a moderator:
Yap.. miaka miwili iliyopita..Guess what,kwa sasa nafurahia maisha kuliko nilipokuwa naye!Kama waliotangulia ahera,wana uwezo wa kuwaombawapenzi wao waliowaacha duniani,wawarudishe ili waishi tena pamoja,mi NINGEMKATALIA abakie hukohuko...
aiseee alikufanyeje hivo?
 
ulifanya kosa ungetafuta mkwewe huyo eng. ili ngoma iwe draw

Kipindi nambembeleza aniachie,tulipata kukaa baa moja First and Last ,Chang'ombe,Dar. Ndiyo ikapaki ballon nyeupe. akatoka mama ni mzee,hana mfano!
 
unatakiwa kumuamini now kwani alivyo kuonyesha alifanya vibaya hadi ukalia au kilicho kuliza kitu gani au ulihikwa na hasira baada ya kumuona aliye kua anachomeka dushelele ndani yako
 
nani alikwambia pepo la ngono linachanishwa kwa juhudi za kupiga simu !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom