unatakiwa kumuamini now kwani alivyo kuonyesha alifanya vibaya hadi ukalia au kilicho kuliza kitu gani au ulihikwa na hasira baada ya kumuona aliye kua anachomeka dushelele ndani yako
ondoa shaka babaa huyo kaisha kukabidhi moyo wake woteNilifanya hayo yote, tena kwa moyo wote...
Kulia nadhani kwa hisiakuwa huenda wakawa bado walikuwa wanawasiliana..
ooooh masikini pole sana jamani
Maana km hapa umetuacha hewani, na ili kupata majibu ni lazima usiondoke ili tujue hilo liMama la wapiKipindi nambembeleza aniachie,tulipata kukaa baa moja First and Last ,Chang'ombe,Dar. Ndiyo ikapaki ballon nyeupe. akatoka mama ni mzee,hana mfano!
Naamini ni True Story pole sana ila sasa ni yupi utakuwa naye? na acha kuwachunguza kuku wakati wa na meno 32, huko nyuma hukua nae ndipo utaishi kwa amaniTulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
Malizia kwanza uzi huu halafu uulete mwingine kwa style ya kina CHAI CHUNGU unapiga halafu unazama lazima utafunga mabehewa maana siku hizi hatutaki mikanda wa CD /DVD ni True Story zenuAcha ya hayo ya kabla ya ndoa,baada ya hapo pia,duh... siwezi kuelezea. yanahitaji uzi wake..
Yaani hicho ndicho kikulize? kwanini asitabasamu wakati alikuwa anakula hela ya Mhandisi.
Dunia uwanja fujo