Mi nililia kwa hasira,wewe je??

Mi nililia kwa hasira,wewe je??

yani nimejaribu kusoma sijaelewa,sijui ata kilichomliza mkuu,aliomuelewa pls

Kifupi ni kuwa nilikuwa namdate dada aliyekuwa na mpenzi wake,na nikafanikiwa kukatisha penzi lao.
Sasa wiki moja kabla ya kwenda altareni,tukiwa dukani,mchumbangu akamuona huyo ex wake akiwa na mkewe,akawachangamkia,akanistua eti niwasalimie..
 
Hivi kweli umejua mpenzi/mchumba anatembea na mume wa mtu halafu na wewe unaoa? Mwanamke kama huyu hata akiolewa hawezi kuacha mabuzi or sugar dadies!!!! Hata nikupende kama Lulu but once nimegundua na confirmation 100% kuwa una jamaa tofauti na mimi, nakupiga chini bila huruma. Yaani nitablock hadi namba zako za simu kabisa!!
 
Mkuu Zogwale niliingia mwenyewe. Nikadhani ningewaachanisha..
Lakini ndiyo hayo yaliyonikuta...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu trachomatis hujasikia msemo kuwa "mahawara" hawaachani? Maana huyu mchumba/mke wako alijua kabisa yeye ni hawara kwa yule mume wa mtu. Aise wanaendelea!!! Wewe kaza moyo songa mbele yaishe maana umeyakubali mwenyewe.
 
umejuaje kama alitubu? kwani mtu akifa ndiyo hairuhusiwi kushare experience ya mabaya yake? tuachane na taboo zisizokuwa na maana.

Unajua maana ya neno EVEN IF??hata kama meanwhil inawezekana alitubu or not

Faida za kushare experience ya mabaya ya mtu nini???mwambie akuambie mazuri ya huyo dada ushare hopfuly yatakusaidia zaid

Otherwiz nambie unapenda ubuyu(umbeya) tu kama mimi ntakuelewa

Haya kaka endelea baada ya mshkaki wa samsung kuiva nini kilifata....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
swali langu simple tu: "yule Engineer Madevu, alimkanyaga au laa?!"
 
Duh! sasa nimeelewa kidogo, kumbe na wewe uliingilia penz la watu?! Mwosha huoshwa kaka!! wala sikuonei huruma!! jifunze
 
Mkuu trachomatis hujasikia msemo kuwa "mahawara" hawaachani? Maana huyu mchumba/mke wako alijua kabisa yeye ni hawara kwa yule mume wa mtu. Aise wanaendelea!!! Wewe kaza moyo songa mbele yaishe maana umeyakubali mwenyewe.

Nilishapita huko kote,ni miaka imepita,na mpaka hivi ninapoandika,hayuko duniani kama miaka miwili sasa..
 
Duh! sasa nimeelewa kidogo, kumbe na wewe uliingilia penz la watu?! Mwosha huoshwa kaka!! wala sikuonei huruma!! jifunze

Eng madevu,mlevi tu,mtu mzima kwa umri na tena ana mke..
Nikamwambia bora uwe na mimi,huyo anakupotezea tu muda.
 
Mbona kisa chenyewe ni chepesi sana kijana? Sasa hapo kilichokufanya ulie ni nini?
Then unataka na sisi tulie kwenye kisa kama hicho ama ulikua unamaanisha nini?
 
Takribani miaka kadhaa iliyopita,nilikuwa na galfriend ambaye alikuwa akitoka na mzee mmoja mwenye fedha zake. Ilichukua akili,muda na gharama kidogo kumuachanisha na huyo baba,kwa taaluma ni Eng.

Nilipiga sana simu,nilienda baa alizokuwa anakunywa,na kumsihi asimfuate tena yule dada.Alikubali.Akanishauri nimuoe kabisa,nami nikamwambia,ndiyo lengo langu.

Ndipo nilipotangaza nia ya kufunga pingu za maisha na yule dada,vikao vikaanza pale Riverside.
Jumamosi moja kabla ya Jumamosi ya harusi,mi na mchumba wangu tulienda duka moja maarufu kwa mapambo ya maharusi na sherehe kama hizo,ni K'koo jirani na mlango wa magari yanayoingia shimoni..

Nikiwa busy naangalia mapambo,mchumba wangu akiwa na furaha na bashasha tele, akanistua nigeuke,na nilipogeuka,hamadi uso kwa uso na Eng na midevu yake,akiwa na mkewe!
Nilimsalimia ye na mkewe na nikatokomea baa iitwayo Palace nikaanza kunywa kwa hasira.
Nilikumbuka taabu niliyopata kuwaachanisha,nililia na nikamwadithia mbaba wa kaunta..
We nawe mbona hueleweki???baada ya kumwona huyo mzee akiwa na mkewe ukatoka mbio kwenda baa kunywa huyo mtarajiwa wako ukamwacha na nani pale kariakoo???sijakupata.
 
Huyo aliyekuwa mke wangu Zogwale .... Mi niko single kwa sasa...na sitamani kuwa na mke tena yaani...

Dah pole sana trachomatis, ila afya mlipimana kabla hamjaoana? Ni vizuri kuishi na mke ina maana katika maisha mkuu wangu.
 
Takribani miaka kadhaa iliyopita,nilikuwa na galfriend ambaye alikuwa akitoka na mzee mmoja mwenye fedha zake. Ilichukua akili,muda na gharama kidogo kumuachanisha na huyo baba,kwa taaluma ni Eng.

Nilipiga sana simu,nilienda baa alizokuwa anakunywa,na kumsihi asimfuate tena yule dada.Alikubali.Akanishauri nimuoe kabisa,nami nikamwambia,ndiyo lengo langu.

Ndipo nilipotangaza nia ya kufunga pingu za maisha na yule dada,vikao vikaanza pale Riverside.
Jumamosi moja kabla ya Jumamosi ya harusi,mi na mchumba wangu tulienda duka moja maarufu kwa mapambo ya maharusi na sherehe kama hizo,ni K'koo jirani na mlango wa magari yanayoingia shimoni..

Nikiwa busy naangalia mapambo,mchumba wangu akiwa na furaha na bashasha tele, akanistua nigeuke,na nilipogeuka,hamadi uso kwa uso na Eng na midevu yake,akiwa na mkewe!
Nilimsalimia ye na mkewe na nikatokomea baa iitwayo Palace nikaanza kunywa kwa hasira.
Nilikumbuka taabu niliyopata kuwaachanisha,nililia na nikamwadithia mbaba wa kaunta..

Watu tunatofautiana kufikili aisee, mimi nililie mwanamke? Unambembeleza mwanaume mwenzio akuachie? Huyo ni mwanamke tena? Oooops!!!!!!
 
Mbona kisa chenyewe ni chepesi sana kijana? Sasa hapo kilichokufanya ulie ni nini?
Then unataka na sisi tulie kwenye kisa kama hicho ama ulikua unamaanisha nini?

Najaribu kushare experience maana kuna waliowahi kupenda na wakapendwa,na wakaenjoy mapenzi..
Kuumizana kunakuwa kwa kawaida..
Wewe umewahi kupenda? Katika maisha yako umewahi kufall in love?
 
We nawe mbona hueleweki???baada ya kumwona huyo mzee akiwa na mkewe ukatoka mbio kwenda baa kunywa huyo mtarajiwa wako ukamwacha na nani pale kariakoo???sijakupata.

Nilichukia,na nikazima simu. Nilimwacha peke yake pale...
Tulikuja kuonana nyumbani usiku..
 
Dah pole sana trachomatis, ila afya mlipimana kabla hamjaoana? Ni vizuri kuishi na mke ina maana katika maisha mkuu wangu.

Aa wapi.. wakati wa ujauzito alipima.. Kabla ya kuoana mmh...wala!
 
Watu tunatofautiana kufikili aisee, mimi nililie mwanamke? Unambembeleza mwanaume mwenzio akuachie? Huyo ni mwanamke tena? Oooops!!!!!!

Alikuwa na nguvu ya soko mkuu... Gari 3,baloon na pickup 2,2.8 moja na hilux. Na hawakuwahi kugombana mind you...
Pia kama hujawahi kupenda, hiki kisa hutakielewa Jakubumba ..
 
Last edited by a moderator:
Aa wapi.. wakati wa ujauzito alipima.. Kabla ya kuoana mmh...wala!

Majibu yake uliyaona? Vipi uko na stamina ya kupima!!!? Ni jambo jema sana kwako!! Kweli kabla ya kuoana hukupima wakati umesema kabla hata ya mahusiano yako na yeye kuanza ulijua ana lizee na wewe ukaamua kujilipua pale? Dah, hata hueleweki!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom