Mi nililia kwa hasira,wewe je??

Mi nililia kwa hasira,wewe je??

Watu tunatofautiana kufikili aisee, mimi nililie mwanamke? Unambembeleza mwanaume mwenzio akuachie? Huyo ni mwanamke tena? Oooops!!!!!!

Alikuwa na nguvu ya soko mkuu... Gari 3,baloon na pickup 2,2.8 moja na hilux. Ana ghorofa maeneo ya sabasaba grounds..Na ni miaka ya mwanzo baada ya mwaka 2000 . Na hawakuwahi kugombana mind you...
Pia kama hujawahi kupenda, hiki kisa hutakielewa Jakubumba ..
 
Last edited by a moderator:
Majibu yake uliyaona? Vipi uko na stamina ya kupima!!!? Ni jambo jema sana kwako!! Kweli kabla ya kuoana hukupima wakati umesema kabla hata ya mahusiano yako na yeye kuanza ulijua ana lizee na wewe ukaamua kujilipua pale? Dah, hata hueleweki!!

Tulianza na kondom hadi pharmacy za maeneo ya kijitonyama pale wakawa wanatujua...
Tumetumia sana kondom...
Mapenzi yalivyokuwa yamenoga,hata ningeambiwa ana vvu,ningemwacha mwezi tu ningemrudia...
Alikuwa negative,alijifungua kwa CS,operesheni ya uzazi, fast track ya Muhimbili. Dr Thomas alimzalisha,kwa wanaomfahamu.
Mi ni mpimaji vvu pia,au niseme ni mshauri nasaha.. hutokea nikajipima..
 
Unajua maana ya neno EVEN IF??hata kama meanwhil inawezekana alitubu or not

Faida za kushare experience ya mabaya ya mtu nini???mwambie akuambie mazuri ya huyo dada ushare hopfuly yatakusaidia zaid

Otherwiz nambie unapenda ubuyu(umbeya) tu kama mimi ntakuelewa

Haya kaka endelea baada ya mshkaki wa samsung kuiva nini kilifata....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kama wewe huna unachokipata kwenye hii story kaa pembeni tu. . . .tuachie sisi tunaojifunza kitu na kiburudika kwa visa vya kweli.
Kuwa ni umbea . . .hell no ,kwasababu hata siwafahamu mkuu.
 
kama wewe huna unachokipata kwenye hii story kaa pembeni tu. . . .tuachie sisi tunaojifunza kitu na kiburudika kwa visa vya kweli.
Kuwa ni umbea . . .hell no ,kwasababu hata siwafahamu mkuu.

Asante kama unapata kitu kwa hiki kisa changu mkuu...
 
sasa pombe ya nini! demu wako alishaliwa kabla na huyo eng,baada ya kuachana na eng wewe ndio unaenda kubwia pombe! kama sio uchizi ni nini?
 
sasa pombe ya nini! demu wako alishaliwa kabla na huyo eng,baada ya kuachana na eng wewe ndio unaenda kubwia pombe! kama sio uchizi ni nini?

Hukusoma kwa utulivu mkuu... soma kwa utulivu utaelewa tu...
 
Nimewahi several times na nimewahi hadi kulea mimba ya mtu na nikaishia kuletewa mtoto sura copy right na jamaa fulani hadi familia yangu nzima ikamsusa mtoto na baadae ukweli ukajulikana mtoto sio wangu.
 
Pole mkuu.. Yanatokea kwa wengi.. Yanasababisha uchukue mtu sasa bila kumpenda...
Ili mradi ni mwanamke, ukae naye,afanye majukumu kama mke,lakini suala la love hakuna..
 
ni mtu kuishi kimapenzi na mtu mwingine mkuu...
sasa kama ni kuishi kimapenzi,kwa nini umekataa niliposema ameliwa? Au mapenzi haihusishi kuliwa? Hata kama haihusishi kuliwa! Una uhakika gani kama demu wako hakuliwa na huyo eng??????
 
Pole mkuu.. Yanatokea kwa wengi.. Yanasababisha uchukue mtu sasa bila kumpenda...
Ili mradi ni mwanamke, ukae naye,afanye majukumu kama mke,lakini suala la love hakuna..

Ndo hivyo mkuu namshukuru Mungu kwasasa nina mke mwema na mtoto mmoja wa kiume na familia inafuraha sana.
 
sasa kama ni kuishi kimapenzi,kwa nini umekataa niliposema ameliwa? Au mapenzi haihusishi kuliwa? Hata kama haihusishi kuliwa! Una uhakika gani kama demu wako hakuliwa na huyo eng??????

Mchumba wangu alikuwa demu wa Eng...na niliwaachanisha kwa kuwa nilikuwa na nia ya kuoa.
 
Ndo hivyo mkuu namshukuru Mungu kwasasa nina mke mwema na mtoto mmoja wa kiume na familia inafuraha sana.

Hongera sana... nami nawish nipate mke wa hivyo... mwema kabisa,asiwe na ukorofi,wivu wa kupitiliza,na tabia chafu nyingine...
 
Pengine hukutakiwa kujihusisha na mdada aliye na manfriend (yaani nadhani huyo Eng. kwa kuwa ana familia yake hakuwa na sifa za kuitwa boyfriend) na huyo mdada (nadhani ni mkeo sasa) nawezahisi maadili yake hayakuwa mema na kuwa na ume wa mtu akiwa anajua kabisa kuwa huyu ni mume wa mtu. Inawezekana sana hawajaachana au wameachana kabisa lakini anaweza isimuwie ngumu kutoka nje ya ndoa yenu na mume wa mtu... kumbuka kwamba ukila nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tuu hasa kwa sababu watu wenyewe wapo si tatizo kuwapata....
 
Asante kwa ushauri Karug ....
Wajua sikudhani kama ningefikia hatua ya kupenda.. nilikuwa kijana,ndiyo nimeanza kazi,na namuona binti mrembo wa asili,ana lizee lenye hela,akili ya ujana tu ikanituma kumuapproach na kujua nitakuwa nakula kiulaini fedha za hilo lizee..
Si ndiyo nikafall in love mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi several times na nimewahi hadi kulea mimba ya mtu na nikaishia kuletewa mtoto sura copy right na jamaa fulani hadi familia yangu nzima ikamsusa mtoto na baadae ukweli ukajulikana mtoto sio wangu.

duh! watu mmepitia majaribu lol!
 
Haukuwa umelia muda mrefu tu.Machozi yalijaa kwenye macho ukayatafutia kisa ambacho hata hakilizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom