Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,300

Jamaa yupo Bungeni analeta habari zile zile za kila siku: (Waziri Malima)

Ukosekanaji wa mafuta (wasambazaji kugoma)

mvua

gesi

matengenezo

Story zile zile za kila siku..., hakuna jipya hapa.., Pia kama kawaida anaitupia lawama Tanesco kwamba haikuwaambia wananchi ni nini kilichokuwa kinaendelea..... (bure kabisa hawa watu)...

Eti matatizo mengi yametokea kwa wakati mmoja.., hivi hawa wasambazaji waligoma lini?? na huu mgao umeanza lini?

Umeonaee....hawa watu wametufanya mazezeta kweli kweli.Kwa hali kama hiyo kuna haja ya kutafuta kufanya kitu cha mfano ili wajifunze?Nadhani hapana....TUAMKE WATANZANIA !