Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Mbona mama kairuki na huyo mjeshi wamenuna sana ??
JK inabidi amualike Mnyika wakae kwa kituo kuongea vizuri, sio photo op tu. Kwa muungwana salamu ni furaha, hata kwa adui, kwa hiyo nikiona wanacheka napata kujua kwamba wanajua common decorum, wasingecheka ningehofu kwamba twaweza kupata mauaji ya kimbari kama Mama Kejo. JK anasema "wewe ndo umeniita dhaifu siyo?" Mnyika anacheka "lazima ukweli tuseme mzee unachemsha sana ujue"
Na mikutano ilipambwa na bendera za chadema
Huyu si ndiye alisema jk ni dhaifu?
Huwezi kumhukumu Mnyika. Alisema kuwa JK ni dhaifu lakini hakusema kuwa hatakutana naye na wala hakusema kuwa atamnunia, wala hakusema kuwa atamchapa makofi. Hata sasa ukimuuliza atasema kuwa JK ni dhaifu.Huyu si ndiye alisema jk ni dhaifu?
Leo naona ameamka vizuri mkulu angekuwa anafanya hivi kila siku tungekuwa mbali. Sasa aendelee hivihivi na isiwe geresha
Huyu si ndiye alisema jk ni dhaifu?
Leo naona ameamka vizuri mkulu angekuwa anafanya hivi kila siku tungekuwa mbali. Sasa aendelee hivihivi na isiwe geresha
Mbona mama kairuki na huyo mjeshi wamenuna sana ??
Siasa sio vita su uadui.Kuwa vyama tofauti haimaanishi mnuniane au msisalimiane.Huo sio ukomavu wa siasa ni utoto.Sisi sote ni watanzania uzalendo kwanza
Siasa sio vita su uadui.Kuwa vyama tofauti haimaanishi mnuniane au msisalimiane.Huo sio ukomavu wa siasa ni utoto.Sisi sote ni watanzania uzalendo kwanza
wasalimie Arusha...haswa mzee wa Indaa...