Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,758
- 152,673
JK inabidi amualike Mnyika wakae kwa kituo kuongea vizuri, sio photo op tu.
Kwa muungwana salamu ni furaha, hata kwa adui, kwa hiyo nikiona wanacheka napata kujua kwamba wanajua common decorum, wasingecheka ningehofu kwamba twaweza kupata mauaji ya kimbari kama Mama Kejo.
JK anasema "wewe ndo umeniita dhaifu siyo?"
Mnyika anacheka "lazima ukweli tuseme mzee unachemsha sana ujue"