Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Dhaifu sana.Kwani wewe hujuhi?
Kwani kichaa akichekesha huwa atucheki?
Hapo huwezi jua kama mnyika anafuraha au anamcheka Dr. Dhaifu
chichidodo

Napenda kuwajulisha kuwa kichwa cha habari original kilikuwa:
JJ MNYIKA ANAVYOJICHEKESHA KWA JK
Ama kweli CHADEMA mna kazi TENA NZITO.....halafu mnatafuta mchawi wenu ni nani wakati wasaliti mnao kibao chamani kama huyu JJ MNYIKA.
Huyu Mnyika na DEDI yao kule CHADEMA walitamka wazi kuwa HAWAMTAMBUI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE kama rais halali wa Tanzania aliyechaguliwa kwa kura za haki....haya LEO KIKO WAPI?
Waswahili wanasema kuwa CHURA KARUDI MAJINI au ndio MWANA MPOTEVU amerudi tena tazama body language....Mnyika anajichekesha na kukenua meno ili aonekana na furaha ya kukutana na DR KIKWETE.
Kwa kuonyesha his TUE COLOURS, kwa kusudi kabisa kaacha kuvaa zile sare (khaki ) wanazovaa watalii wakija Tanzania kutazama ndezi, KINYONGA, nguchiro na nguruwe pori.
Unless hii nayo CHADEMA waseme kuwa imefanyiwa photoshop ili kumwonyesha Mnyika akiwa na furaha wakati kumbe alikuwa kakasirika....na ndio nini kuvaa suti kama ya JK au ndio bas tuu?
![]()

Huyu ni kiongozi wa nchi na zaidi ya yote ni mzee hivyo ni kama mzazi huwezi kuleta dharau za kifala,ukileta ujinga wajanja wanang'oa jicho.
ni kelele hizo za Mnyika ndio zimesababisha Jk aende kimara na sasa hivi maji yameanza kutoka huko baada ya maandamano na kelele nyingi.sasa mlitaka asimpokee wakati yeye ni mbunge?ili iweje?sasa nyie mlitaka amtwange makofi?huyo jk ilikuwa aende kimara siku nyingi lakini akaahirisha.leo kaenda na full band,magari ya washawasha,FFU kibao,utafikiri kaambiwa kimara kuna magaidi wengi!hawa jamaa wanaogopa sana Chadema na ngome zao!
tena kwa kuonyoshea kuwa hayuko pamoja na wenzake kaamua kuvaa sare kama alivyovaa bosi.
wewe ni mwana ccm,kosa lake mnyika hapo ni nini?Napenda kuwajulisha kuwa kichwa cha habari original kilikuwa:
JJ MNYIKA ANAVYOJICHEKESHA KWA JK
Ama kweli CHADEMA mna kazi TENA NZITO.....halafu mnatafuta mchawi wenu ni nani wakati wasaliti mnao kibao chamani kama huyu JJ MNYIKA.
Huyu Mnyika na DEDI yao kule CHADEMA walitamka wazi kuwa HAWAMTAMBUI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE kama rais halali wa Tanzania aliyechaguliwa kwa kura za haki....haya LEO KIKO WAPI?
Waswahili wanasema kuwa CHURA KARUDI MAJINI au ndio MWANA MPOTEVU amerudi tena tazama body language....Mnyika anajichekesha na kukenua meno ili aonekana na furaha ya kukutana na DR KIKWETE.
Kwa kuonyesha his TUE COLOURS, kwa kusudi kabisa kaacha kuvaa zile sare (khaki ) wanazovaa watalii wakija Tanzania kutazama ndezi, KINYONGA, nguchiro na nguruwe pori.
Unless hii nayo CHADEMA waseme kuwa imefanyiwa photoshop ili kumwonyesha Mnyika akiwa na furaha wakati kumbe alikuwa kakasirika....na ndio nini kuvaa suti kama ya JK au ndio bas tuu?
![]()
![]()
Elewa kuwa kazi mojawapo ya upinzani ni kuikosoa serikali, kuielekeza, kutoa maoni na kutoa njia mbadala kwa masuala muhimu. Upinzani sio uadui kama wengine wanavyochukulia. Kuna mambo mengi ambayo upinzani umepigania na kutoa maoni na serikali imeyatekeleza. Lengo ni moja, kuleta maendeleo kwa Watanzania, tatizo ni njia gani itumike kuharakisha lengo hili. kwa bahati mbaya sana nchi yetu haina sera za Kitaifa ambapo kila chama cha siasa kinatakiwa kieleze ni kwa namna gani itatekeleza na wananchi wakiikubali njia hiyo basi watakichagua chama husika. Hali ilivyo hivi sasa ni kubeza, matusi, kejeli na chuki ambavyo mwananchi wa kawaida haimsaidii.
Kwa kumalizia Mhe. Mnyika hana sababu ya kumchukia Rais Kikwete, na akiwa karibu nae basi labda atafanikiwa kwa urahisi sana kutimiza ahadi zake kwa wananchi waliomchagua wala sio kusaliti chama chake. Na hivyo ndivyo inavyoelekea hasa kuhusiana na swala la maji. Si lazima kusubiri mpaka chama chake kiingie madarakani.
Wako wabunge ambao badala ya kupigania maendeleo ya wananchi waliowachagua wanapoteza muda kwa maandamano yasiyo na tija. Kwa mfano kwa nini kung"ang"ania kufanya maandamano kuhusu kushuka kwa Elimu badala ya kukaa na wananchi waliowachagua kupanga mikakati ya kuimarisha elimu katika maeneo yao? Sababu za kushuka elimu ni nyingi, na nyingine ziko ndani ya uwezo wa wapigakura waliowachagua kama vile kuondoa utoro, mimba na ndoa za utotoni kwa hayo kuna haja ya kufanya maandamano? Ni bora kutoa maoni kwa vyombo husika au kamati iliyoteuliwa kuliko kupoteza nguvu kazi kwa kufanya maandamano. Wako watu wachache wanaofikiri kushirikiana na chama tawala ni usaliti. Tuondoe fikra hizi.
swala la maji limemshinda Mnyika Jk ameamua kuingilia kati kusaidia?
Nimefurarijika kwa tamko la Mh. Rais JK kwa kuwakumbuka wakazi wa Mabwe Pande kwa kuwapa kila kaya tani 5 za saruji...baada ya wao kuishi kwa mateso kwa takribani mwaka mmoja na zaidi.... Rais kama Rais ambaye ni Amiri Jeshi mkuu ametamka YAMEKUWA . yako mambo mengi katika nchi hii ambayo Rais anatakiwa ayatamke tu... YATAKUWA NAMPONGEZA KWA HILO

siasa sio uadui ,sisi sote ni watanzania na nia yetu ni kuleta maendeleo katika taifa letu japo tunatofautina we ccm fisadi mimi mzalendo mpenda maendeleo chadema,wewe unayetaka mnyika na jk wasielewane kisa vyama tofauti utakuwa hujui maana ya siasa, ni lazima utakuwa kati ya maccm (magamba) wanao changanya siasa na vitu vingine kama dini na ukabila.
tena kwa kuonyoshea kuwa hayuko pamoja na wenzake kaamua kuvaa sare kama alivyovaa bosi.
Watu wanaomsema Kikwete vibaya ni wale ambao hawajawahi hata kukutana nae face to face. In short ni wale ambao hata HAWAMJUI...