The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Mbunge wangu Mnyika big up.Huyo mheshimiwa ni dhaifu tu, hakuna zaidi.
makamanda uwongo huu hii picha ni photoshop Kamanda Mnyika hawezi jichekesha hivi tunamuomba Slaa kesho atoe tamko kuhusu hii picha na Lissu awashtaki walioitengeneza hatuwezi kukubali kuchezewa hivi INTELIJENSIA yetu ni kali sana
Chezea Mnyika weweee!!
Nalipinga wazo lake la kuwapa wana mabwepande kila familia mifuko 100 kwani najua wataiuza mtaani na nyumba hawatajenga!bora govt ingejenga au kutoa muongozo na usimamizi wa nyumba zao
wasalimie Arusha...haswa mzee wa Indaa...Siasa sio vita su uadui.Kuwa vyama tofauti haimaanishi mnuniane au msisalimiane.Huo sio ukomavu wa siasa ni utoto.Sisi sote ni watanzania uzalendo kwanza
Asee hii picha ikiwekwa kwa projector naweza kuambia mnyika anameno mangapi ila suala linakuja ivi ht ww ukikutana na JK must utamkenulia ila daah mnyika nampa red card kazidisha asee
Nilishasema hapa muda mwingine tunasumbuliwa na wivu tu, ZZK anasemwa sana kwasababu anapata fursa za kuonana na viongozi wakubwa wa Nchi na JK akiwemo, JJ Mnyika ni miongoni mwa waandaa fitna dhidi ya ZZK kuonana na JK , tuwe wakweli huwezi kufanya siasa bila kuwa karibu na wapinzani wako, Mbowe amefanya hivi huko HAI, selasini amefanya hivi rombo , mama slaa wa zamani kafanya hivi huko Arusha pia.
Tuondoe vibanzi vya kushabikia ubaya tu na kuandaa chuki kwa wenzetu, rejeeni injili ya yohana kwa wale waliomshtaki mama muasherati na yesu akawaambia asiyetenda dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kurusha jiwe kwa mama huyu, wote wakaondoka kimya kimya.
Unachokipinga ndicho unachokifanya tena!?
Mwanzo ooooh hatumtambui...leo ohhh karibu mheshimiwa utufungulie mradi
hawa watu hawajaingia serikalini hawaishi kufanya U Turn, wakiingia je?