Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Tujiandae kuingia barabarani hakuna jingine hapa!!!hata swala la Zitto sijui kama litapangiwa tarehe!!
 
aisee! wasipojiuzulu tyari tumepata majibu. ni maandamano nchi nzima. peoples power itaamua hatima ya nchi hii.
 
Ingawa naamini kwenye msemo wa "Save the Best for Last".., sioni kama kutakuwa na News yoyote hapa..,

Huku kujiamini sio kwa someone ready to step down
 
Hivi mmetoa macho kwenye TV zenu mkitarajia maamuzi magumu!! Maamuzi magumu Bongo?!! Bwana mdogo zitto anafunikwa kapuni, potezewa mbaya, kesho tunaamka na story za Lulu kabla hatujapigwa Single ingine. Chezea magamba wewe!!
 
Wanafunzi laki tisa walifanya mtihani wa darasa la saba 2011 na laki tani na ushehe walifaulu na kendelea na masomo.
 
Sioni dalili zozote za kuwajibika..... I am so disappointed now....
Nimejitahidi kuisoma tone yake ya leo but sijaambulia chochote, lakini anaonekana ana confidence sana.
Tuwe na subira mpaka afike kipengele cha uwajibikaji, lakin kwa hali inavyoonekana ...
 
Dah pinda ananipaa hasira hakuna mfano, 4 sure hakuna yeyote anayejiuzulu, dalili ishaonyesha. Saiv anaongelea ufaulu wa darasa la 7,
 
Back
Top Bottom