Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.

Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu.

Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....

UPDATE:

Amesema kuwa yeye ni mbunge wa NEC (ya CCM) wa kuchaguliwa na wabunge na wabunge ndio wanalalamika hivyo hawezi kukaa kimya nchi ikiwa inapotea!
 
Now this is significant. I am not so much impressed by the redeeming nature of this act, some aspects of Mr. Mkono's record are hardly redeemable.

I am watching this closely because Mr. Mkono is a shrewd, well connected politician who wouldn't lend this move if there is no hope of some heavy moves.

Mkono kwa kutia sahihi list hii ametuonyesha kwamba hii movement inakubalika na wabunge wa upinzani na wa CCM,wenye uzoefu na connections tofauti.

Lazima kuna political intrigues kubwa sana hapa. Na kuna bonge la legal strategy tayari. Hata sabotage / counter espionage moves are not exactly improbable.
 
Back
Top Bottom