Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.

Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu.

Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....

UPDATE:

Amesema kuwa yeye ni mbunge wa NEC (ya CCM) wa kuchaguliwa na wabunge na wabunge ndio wanalalamika hivyo hawezi kukaa kimya nchi ikiwa inapotea!
Mheshimiwa Nimrod Mkono ni moja ya Watanzania wachache sana ambao wamenufaishwa SANA na mali za taifa hili la Tanzania. Wala sishangai kuwa ametia saini maana HUU NI WAKATI MUAFAKA WA KUILIPA TANZANIA ILIYOMPANDISHA CHATI MPAKA HAPO ALIPO. Keep it up shemeji yangu.

 
i can can say this is the corporate social responsibility ya maana kuliko zote anazozifanya sasa kupitia bank M
 
shujaa ni a person who, in the opinion of others, has heroic qualities or has performed a heroic act and is regarded as a model or ideal:

so in this case Mkono ni shujaa kwani amefanya kitendo cha kishujaa heroic act regard historia yake.
 
NAPE nae tunamsubiri asaini. Hapo tutakuwa tumemaliza kazi. Hata kwa kumuomba mbunge asaini tu yeye akiwa nyuma yake kwani hayuko mjengoni.
 
watanzania wengi hawamjui kuwa mheshimiwa mkono ana uchungu sana kwa nini watanzania wako nyuma na ni mzalendo wa kweli ILA TU WATU WANATUMIA VIBAYA NENO FISADI NA KUDHANI KUWA KILA TAJIRI NI FISADI! YEYE JIMBONI KWALE ANASHIKILIANA NA WAPINZANIA NK KATIKA KUSEKUMA MAENDELEO.

Hatukatai kwamba Mkono anafanya makubwa kwa ajili ya watu wake huko Musoma, lakini wakati huo huo hatutaki kuhalalisha kwamba ukitumia hela za ufisadi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi basi huo ni ufisadi unaokubalika. Ufisadi ufisadi bwana. Fisadi atubu kwa kutoa hela ya kujengea msikiti au kanisa?
 
Kwanini amdhalilishe PM wake?...ndio maana nilisema moyo wake(Mr.President) ni mgumu kama wa Farao, yule wa Misri

Sasa sijui aina ya mapigo atakayoyapata, labda wana JF mnisaidie kwani mimi simuelewi, na hainiingii kumuelewa.
 
Back
Top Bottom