Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpaka Kieleweke, Apr 22, 2012.

 1. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.

  Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu.

  Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....

  UPDATE:

  Amesema kuwa yeye ni mbunge wa NEC (ya CCM) wa kuchaguliwa na wabunge na wabunge ndio wanalalamika hivyo hawezi kukaa kimya nchi ikiwa inapotea!
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ameshaona dalili ya upepo.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Amesaini baada ya kupigwa mkwara na wananchi wa Musoma Vijijini.
  Hongera yake
   
 4. M

  Moony JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawa ndiyo wafaao kuwa MAWAZIRI
   
 5. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Habari njema
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  .....Mkuu Jasusi sikutegemea kabisa kama huyu naye angetia mkono wake wa kumuondoa Pinda madarakani.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Now this is significant. I am not so much impressed by the redeeming nature of this act, some aspects of Mr. Mkono's record are hardly redeemable.

  I am watching this closely because Mr. Mkono is a shrewd, well connected politician who wouldn't lend this move if there is no hope of some heavy moves.

  Mkono kwa kutia sahihi list hii ametuonyesha kwamba hii movement inakubalika na wabunge wa upinzani na wa CCM,wenye uzoefu na connections tofauti.

  Lazima kuna political intrigues kubwa sana hapa. Na kuna bonge la legal strategy tayari. Hata sabotage / counter espionage moves are not exactly improbable.
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Where is Rejao, Ritz & Co? Sijawaona tangu hili vuguvugu la kura 70 zianze!
   
 9. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Chanzo ni mimi na nimeshiriki kuwa naye wakati anasaini nyaraka hiyo na nafikiri Zitto akimaliza mazungumzo naye ataweka kwenye wall yake ama twite...
   
 10. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  watafuta hoja ya dk. Slaa matupoteze
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Goodbye Pinda. Tulikuamini ukatuangusha kwa machozi yako. Lazima uende.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  Kumbe Mkono nea shujaa!.
   
 13. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Things fall apart?

  JK wa ajabu sana , yaani nchi iko hali hii ikulu wanatoa tamko kuwa hajawasiliana na PM wake . Hivi alilazimishwa kuwa naye nini mbona kama hamdhamini hata kidogo? wakati wa Jairo.... Madaktari..... now this ......
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wananchi tupo makini tunawafatilia tu. Kwa zoezi hili tutawajua wale wawakilishi wetu ama wawakilishi wa mafisadi.
   
 15. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  yule mzee ana maamuzi yake anayoyajua peke yake ..sio kama serukamba
   
 16. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyo zaidi ya kuendeleza azma yake ya kuwa mbunge wa milele. Wabunge wanaosign baada ya kujiuliza siku tatu kwa kupima uelekeo wa upepo tusiwaweke katika kundi la wazalendo kama Filikunjombe na Kangi Lugola
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unbelievable lakini inabidi tu maana hata wafanyaje hawawezi kuzuia hili wimbi la mabadiliko.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  huyu Nimrodi bado yuko bodi ya mikopo?
   
 19. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  vP January anasaini saa ngapi au ni kesho asubuhi?
   
 20. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  lengo la kikwete ni kumuondoa pinda hapo kitini..
   
Loading...