Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

kila ki2 kinakwenda kwa mipango na ratiba hy ni ikulu bwana,, maadam wamekubaliana kukutana shaka iko wapi jamani? Kweli uhuru bila nidhamu ni fujo. Tusiwashurutishe hawa viongozi maadam tumekubali kuwapa ridhaa ya kuonana na mkuu watatuwakilisha vyema. Au kale ka imani bd hakatoshi?
wewe kwako IKULU ni kitu cha ajabu sana? Naona Huaelewa topic sawasawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JK kuwa makini na hawa chadema ukiongea nao peke yao pale Ikulu bila wenzao wa upande wa upinzani watatoka na maneno mengi ya uongo Ikulu bora kupata mashahidi kutoka upinzani. maneno yamekuwa mengi hata kabla hujawafungulia mlango wa IKulu watakugeuka hawa na kusema ambayo hukusema
Mkuu, pamoja na kuwa wewe ni tatizo, lakini pia unamatatizo. Fikra zako ni kuwa Ikulu ni sawa na ofisi CCM ambazo mnageuza vijiwe vya soga na majungu.

Pamoja na hilo, nina mashaka na tabia yako. Inaonyesha kama vile wewe ni mtu uliyezoea kusutwa. Unafikiri Kamati ya CHADEMA nayo iko hivyo. POLE!!
 
unafikiri mnakweda kwa Jk kunywa na kula chakula. hoja zikiwa dhaifu Jk atazitupilia mbali na kusonga mbele kusaini muswada kuwa sheria
Aina hii ya watanzania ni mzigo kwa TAIFA,CDM wanaenda IKULU kwa ajili ya neema ya nchi,wewe umebaki na ushabiki hata kwa vitu ambavyo ni muhimu si kwa ukoo wako uliopo hata na huo ulio kwenye viuno vyako lakini unalete ushabiki wa KIZUZU,WATZ tukoje hatuwezi kushikamana hata kwa jambo zito kwa nchi kama KATIBA.AIBU SANA...
 
Jamani, lugha ndani ya jukwaa hivi sasa mbona imekaa tenge, ni matusi kwa kwenda mbele. Uchambuzi wa hoja umelegea!
 
Humu ndani kuna viwavi,kuna kipepeo,kuna foxy...kama majina yenu yanabeba character zenu basi kweli Jf imeingiliwa make the beasts at work
 
Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutanoo wa JK na Chadema!

Wameunguruma katika kipindi cha Dira ya Dunia, kinachoendela sasa!

Walikuwa wakihojiwa na Mtangazaji Aboubakar Mfamao.

Mhe. Mbowe alieleza lengo lao la kuzungumza na JK. Salva alieleza walivyokubaliwa.

BBC ikauliza Kikao ni lini?. Salva akajibu watafanya mawasiliano ya kiofisi kupanga lini wote watakuwa na nafasi.

Mhe. Mbowe amesema Chadema wako tayari wakati wowote, hivyo determinant ni JK tuu.

Angalizo!. JK yuko kwenye kikao cha NEC Dodoma kwa siku mbili, hivyo huo mkutano lazima uwe Jumatatu au Jumanne kwa sababu JK atausani ule muswada siku ya Jumatano ili Alhamisi tarehe 1 Desemba, sheria hiyo ndio inaanza kutumika!.
Kitendo cha JK kukubali kukutana na Chadema, ni dalili njema, ila kumbukumbu yangu ya arrogance ya rais wetu, wakati ile hotuba yake ya 'Mbayuwayu' naombeni niwape maandalizi ya kisaokolojia ya wale wote wenye Great Expectitions na JK kuwa hatausaini, plese just "Hope for the best, but prepare for the worst!" kwa sababu, ATAUSAINI!

Acheni ushamba watu wa Tanzania. Muswada kama Chadema walikuwa wanaupinga wangeingia bungeni kuupinga. Sasa, baada ya kushindwa kuupinga kwa sababu ya kuzidiwa na CCM then wangetaka kumwona Rais kama wanavyotaka sasa. Short of that ni umbumbu uliopitiiliza. Kitendo cha kuususia ni ushenzi na ujinga wa hali ya juu sana. They have a wrong card on this.
Na hata sielewi inakuwaje watu wenye akili humu forum wanajadili kitu ambacho kiko wazi namna hii. Ninapata wasi wasi kuwa asilimia kubwa wa wabongo ni mbumbumbu wa kutupwa
 
Nawashauri "Makamanda" wakienda kuonana na JK wawe waangalifu sana wasije wakanywa hata maji, yanaweza kuwatokea yaliyomtokea Mwakyembe, Fnayani sala kwanza kwani hakuna silaha inayoweza kumshinda Mungu. AMEN

Mkuu yawezekana kweli atausaini lakini sidhani kama JK ni mjinga kiasi hicho.. Kwanza kukubali tu kukutana na Chadema ni jambo ambalo hakuna mtu alikusudia. Katika moja ya Tweet zake nilizowahi kuzisoma JK anasema:-
"Best and wise decisions are to be made in major turning points; otherwise you might create a future crisis..."

This is heavy statement!...Na maneno haya nimewaweka ktk nukuu ya favorites zangu...Na hakuna mahala pazuri ambapo JK anaweza jizolea sifa ni hapa. Hii ndio legacy yake, misifa wonna make history! na sidhani kama atakuja ipoteza nafasi kama hii kuandika Katiba ambayo within next 5 yrs itakufa...
Hivyo naweka tumaini siwezi kulipoteza hadi dakika ya mwisho japokuwa simwamini JK... well, simuamini mwanasiasa yeyote!
 
Ni kweli! sasa tutegemee lipi kwa rais kama JK anaesukumwa na upepo wa wa mafisadi wa CCM! matatizo makubwa yako ndani ya ccm!.Katiba ni mali ya wananchi na sio wa chama fuani cha siasa! kwetu hapa Tz katiba ni mali ya ccm,hivyo wananchi hawapaswi kuwa na kauli juu ya katiba.Wanasema katiba ipo na Rais ndie mwenye mamlaka juu yake na sio katiba kuwa na mamlaka juu ya Rais!.Maswali ni mengi: Lakini mbona wanaapa kuilinda katiba ya nchi?--------------
 
I agree with you, alishatangaza kuwa atausaini immediately, i dont think kuwa kukutana kwake na CDM kutamrudisha nyuma, anapenda sana sifa- ATAUSAINI!!!!!!!!!
 
ninahakika jk atasaini coz CDM na Jukwa la katiba na wanaharakati wengine wamekua vigeugeu wamekuwa waoga na dhaifu ktk kuamua
 
Ndio kwanza nakusikia wewe hapa.Afadhali wangeunguruma redio imani tungewasikia.
 
Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutanoo wa JK na Chadema!

Wameunguruma katika kipindi cha Dira ya Dunia, kinachoendela sasa!

Walikuwa wakihojiwa na Mtangazaji Aboubakar Mfamao.

Mhe. Mbowe alieleza lengo lao la kuzungumza na JK. Salva alieleza walivyokubaliwa.

BBC ikauliza Kikao ni lini?. Salva akajibu watafanya mawasiliano ya kiofisi kupanga lini wote watakuwa na nafasi.

Mhe. Mbowe amesema Chadema wako tayari wakati wowote, hivyo determinant ni JK tuu.

Angalizo!. JK yuko kwenye kikao cha NEC Dodoma kwa siku mbili, hivyo huo mkutano lazima uwe Jumatatu au Jumanne kwa sababu JK atausani ule muswada siku ya Jumatano ili Alhamisi tarehe 1 Desemba, sheria hiyo ndio inaanza kutumika!.
Kitendo cha JK kukubali kukutana na Chadema, ni dalili njema, ila kumbukumbu yangu ya arrogance ya rais wetu, wakati ile hotuba yake ya 'Mbayuwayu' naombeni niwape maandalizi ya kisaokolojia ya wale wote wenye Great Expectitions na JK kuwa hatausaini, plese just "Hope for the best, but prepare for the worst!" kwa sababu, ATAUSAINI!
Pasco,ingekuwa ni mimi nimeianzisha hii,mod angeiunga na ile ya kwako ya "CHADEMA kubali yaishe"
 
Pasco, it sounds like you have a prophecy and you really want it fulfilled in your way. Kwa nini tusisubiri na kuona nini kitatokea?. Kama JK hakuwahi kuongea na NEC wala CC kuhusu kukubali mchakato wa katiba mpya jambo ambalo liliwashtua hata makada wa CCM. Ni kwa nini tujihangaishe na kufikiri nini atafanya JK from now? Kwa nini akubali kuonana na CHADEMA halafu ghafla iwe vyama vyote vya upinzani? Kwa nini unafikiri ni lazima asaini huo muswada kabla ya kukutana na CHADEMA? Aywayz uzuri wa hii ishu ni kwamba kwa sasa mpira uko on JK's court ni uamuzi wake kuutuliza na kupanga mashambulizi ya ushindi au kuondoka nao kama zile enzi zetu mwenye mpira akitaka utoke ukagoma anaondoka na mpira wake.
 
Pasco,ingekuwa ni mimi nimeianzisha hii,mod angeiunga na ile ya kwako ya "CHADEMA kubali yaishe"
Jmushi, hii ni kweli, baadhi ya mods ni weupe tuu, ile thread yako ya jana, ilikuwa na maudhui tofauti ya ile ya kwangu, after all ile yangu tulishaifunga, yako ndio ikaifufua na tukarudi kule kule. Next time, unamjulisha mkuu invi, kuwa ni vitu viwili tofauti.
Thanks.
 
Nashangaa hata hapa jf wengi hamuwezi kupambanua mambo. Wacheni chadema wakanawe mikono yao mbele ya Kikwete kuhusu damu ya wa Tanzania. Hata pilato alinawa mikono watu walipo n`gang`ania kumsulubisha Masia. Hii kitu si ya kukenulia meno!
 
Many people don't see the way you see.
 
Mzee Zomba kanitonya kuwa Pasco ni System na Rweyemamu ni System na Mohamed Rweyemamu ni system na Salva anamlinda Fatma (shemejie) madudu aliyofanya, nasikia anapewa tenda zote za kuchimba visima wakati ana mashine moja tu ya kuchimbia visima. Tena hamalizi kazi. Jee kuna ukweli?
 
Pasco siyo system.
 
Back
Top Bottom