Salva kasema Ikulu na Kamati ya CHADEMA itabidi wapange tarehe ambayo wajumbe wa pande zote mbili watakuwepo.
Jibu la Mbowe ni kuwa wao walipendekeza katika barua yao iwe kabla ya tar 01.12.2011 kwa kuwa mswada unataja kuwa sheria hiyo itaanza kutumika 01.12.11. Lengo la CHADEMA wakutane na Rais kabla hajasaini muswada huo kuwa sheria.
My take: Ikulu wanaanza sarakasi.
Pasco, it sounds like you have a prophecy and you really want it fulfilled in your way. Kwa nini tusisubiri na kuona nini kitatokea?. Kama JK hakuwahi kuongea na NEC wala CC kuhusu kukubali mchakato wa katiba mpya jambo ambalo liliwashtua hata makada wa CCM. Ni kwa nini tujihangaishe na kufikiri nini atafanya JK from now? Kwa nini akubali kuonana na CHADEMA halafu ghafla iwe vyama vyote vya upinzani? Kwa nini unafikiri ni lazima asaini huo muswada kabla ya kukutana na CHADEMA? Aywayz uzuri wa hii ishu ni kwamba kwa sasa mpira uko on JK's court ni uamuzi wake kuutuliza na kupanga mashambulizi ya ushindi au kuondoka nao kama zile enzi zetu mwenye mpira akitaka utoke ukagoma anaondoka na mpira wake.
Kukutana na vyama vyote??? - Ili CCM na CUF wakapigilie msumari kuwa mchakato ni sahihi kama na vyama vingine kama TLP vikapokee posho na kuunga mkono hoja ya CCM na CUF. Hivyo wakija kuhesabu kura (si hoja) itaonekana ni CHADEMA tu ndiyo inayopinga huo mchakato. Magamba kwa faulo hawajambo!!!
JK kuwa makini na hawa chadema ukiongea nao peke yao pale Ikulu bila wenzao wa upande wa upinzani watatoka na maneno mengi ya uongo Ikulu bora kupata mashahidi kutoka upinzani. maneno yamekuwa mengi hata kabla hujawafungulia mlango wa IKulu watakugeuka hawa na kusema ambayo hukusema
Jk njoo Jf ujionee wanavyokupuuza unapoteza muda kuonana nao hawa.
Mkuu yawezekana kweli atausaini lakini sidhani kama JK ni mjinga kiasi hicho.. Kwanza kukubali tu kukutana na Chadema ni jambo ambalo hakuna mtu alikusudia. Katika moja ya Tweet zake nilizowahi kuzisoma JK anasema:-
"Best and wise decisions are to be made in major turning points; otherwise you might create a future crisis..."
This is heavy statement!...Na maneno haya nimewaweka ktk nukuu ya favorites zangu...Na hakuna mahala pazuri ambapo JK anaweza jizolea sifa ni hapa. Hii ndio legacy yake, misifa wonna make history! na sidhani kama atakuja ipoteza nafasi kama hii kuandika Katiba ambayo within next 5 yrs itakufa...
Hivyo naweka tumaini siwezi kulipoteza hadi dakika ya mwisho japokuwa simwamini JK... well, simuamini mwanasiasa yeyote!
Kipepeo acha ujinga na ushabiki, unafikiri mazungumzo ya CDM na JK ni kwa manufaa ya nani kama si ya watanzania wote including you wanaopenda kuliona taifa lao likiendelea mbele kwa ustawi wa watu wake?. Vinginevyo kama kuna kamisheni unapata kutoka kwa wanaokutuma kuandika ujinga endelea, lakini pia ujinga huo usio na tija haukubariki hapa jf.:hatari:Namshangaa Jk kwa nini kawakubalia kwenda huko Ikulu nyinyi watata sana alitakiwa tu kusonga mbele. kawakubalia sasa mna maneno mengi hata kabla hamjaonana naye
Kipepeo acha ujinga na ushabiki, unafikiri mazungumzo ya CDM na JK ni kwa manufaa ya nani kama si ya watanzania wote including you wanaopenda kuliona taifa lao likiendelea mbele kwa ustawi wa watu wake?. Vinginevyo kama kuna kamisheni unapata kutoka kwa wanaokutuma kuandika ujinga endelea, lakini pia ujinga huo usio na tija haukubariki hapa jf.:hatari:Namshangaa Jk kwa nini kawakubalia kwenda huko Ikulu nyinyi watata sana alitakiwa tu kusonga mbele. kawakubalia sasa mna maneno mengi hata kabla hamjaonana naye
arrogance ni ya kwenu mliotoka bungeni wakati jk akihutubia bunge mwaka jana leo mnaomba kuonana naye bila chembe ya aibu
Dada Faiza Fox, hapo ni kweli kabisa, uko very right . Kwa kawaida kazi zetu huwa ni siri, maadam Faiza Fox, umefichua siri hii, basi sasa sio siri tena!Mzee Zomba kanitonya kuwa Pasco ni System na Rweyemamu ni System na Mohamed Rweyemamu ni system na Salva anamlinda Fatma (shemejie) madudu aliyofanya, nasikia anapewa tenda zote za kuchimba visima wakati ana mashine moja tu ya kuchimbia visima. Tena hamalizi kazi. Jee kuna ukweli?
Namshangaa Jk kwa nini kawakubalia kwenda huko Ikulu nyinyi watata sana alitakiwa tu kusonga mbele. kawakubalia sasa mna maneno mengi hata kabla hamjaonana naye
Jabulani,Hiyo condition ya !st December imekaaje; ni kwamba lazima sheria ianze kufanya kazi tarehe 1 December hata kama haijasainiwa na rais?
Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutanoo wa JK na Chadema!
Wameunguruma katika kipindi cha Dira ya Dunia, kinachoendela sasa!
Walikuwa wakihojiwa na Mtangazaji Aboubakar Mfamao.
Mhe. Mbowe alieleza lengo lao la kuzungumza na JK. Salva alieleza walivyokubaliwa.
BBC ikauliza Kikao ni lini?. Salva akajibu watafanya mawasiliano ya kiofisi kupanga lini wote watakuwa na nafasi.
Mhe. Mbowe amesema Chadema wako tayari wakati wowote, hivyo determinant ni JK tuu.
Angalizo!. JK yuko kwenye kikao cha NEC Dodoma kwa siku mbili, hivyo huo mkutano lazima uwe Jumatatu au Jumanne kwa sababu JK atausani ule muswada siku ya Jumatano ili Alhamisi tarehe 1 Desemba, sheria hiyo ndio inaanza kutumika!.
Kitendo cha JK kukubali kukutana na Chadema, ni dalili njema, ila kwa kumbukumbu yangu, JK ni very strict na (arrogant) kwenye issue za kuhatarisha usalama wa taifa letu, kama nilivyo shuhudia wakati wa ile hotuba yake ya 'Mbayuwayu' naombeni niwape maandalizi ya kisaokolojia ya wale wote wenye Great Expectetions na JK kuwa hatausaini, plese just "Hope for the best, but prepare for the worst!" kwa sababu, ATAUSAINI!
Dada Faiza Fox, hapo ni kweli kabisa, uko very right . Kwa kawaida kazi zetu huwa ni siri, maadam Faiza Fox, umefichua siri hii, basi sasa sio siri tena!
Naomba nichukue fursa hii, kuwakaribisha wana jf wenzangu kazini kwangu, karibuni tuu mnitembelee, ofisi zetu zipo lile jengo kubwa jipya jirani na St. Peters pale kwenye miti miti. Mkija nitawatembeza idara mbalimbali na kuwaelekeza jinsi sis TISS tunavyofanya kazi zetu. Njooni tuu getini uniulizie, mkifika pale, niulizieni kwa jina la kiofisi, mule ndani hatuitani majina haya, kila mtu ana jina lake, mimi jina langu la kazini naitwa "CHIFU', hivyo ukifika tuu getini sema nakwenda kwa 'Chifu' hivyo utaletetwa kwangu!.
You are most welcome!.