Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,696
- 3,472
Ni kwamba hii post yako imeunganishwa na huu uzi au umepost mwenyewe humu?29 Dec 2020
Dodoma, Tanzania
Mvua yazoa Miundo-Mbinu, Abiria 700 wakwama
Abiria zaidi ya 730 waliokuwa wanasafiri kwa garimoshi kuelekea Dar es Salaam wakitokea mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora wamekwama katika kituo cha treni Dodoma baada ya miundombinu ya reli kuharibiwa na mvua katika stesheni za Kikomo na Igandu.
Source : Azam TV
Kama ni hivyo unatuchanganya tu maana uzi unaongelea SGR wewe unapost kuhusu RELI YA KATI!!