Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Tuko pamoja mkuu( nadhani nawe ni Eng)!
Mtu umekula adha ya Structural Analysis na mahesabu makali chuo. Unarudi uraiani unaambiwa bado lazima ufanye SEAP- Structured Engineers Apprenticeship Program ndipo utambuliwe kama Engineer, unakubali kutoil tena kwa miaka mitatu halafu ukifanikiwa hilo halafu ERB wakakupa title hilo mtu anaona wivu! Nashauri anaeona wivu akasome yeye halafu akimaliza chuo akafanye SEAP hiyo kwa miaka 3! Kupewa title hilo kwa barua siyo kazi rahisi hata kidogo, na mwisho wa siku lazima utume ripoti! Halafu watu wanakuja na wivu wa kijinga, wanafikiri inatolewa tu kama njugu! Lazima ukajifunze kazi baadae utume ripoti zikaguliwe na wabobezi wa fani ya Engineering ndipo utapewa barua kuwa ok umeiva! Tena sharti kuu lazima ukae site, ukae ofisini design work, na pia lazima ukae ofisini ufanye management! Wasio fahamu wanafikiri ni rahisi tu. Hata uwe na PhD, kama hujaandika chochote na kupeleka ERB utaitwa ni CHAZA Eng( au Grad Eng Chaza) badala ya Eng Chaza!

Kama hujui jambo wangeuliza na kupata ufafanuz kabla ya kutokwa na povu!

Ugumu wa kutolewa kitu na wewe kutaka kupewa heshima havina uhusiano. Kama Tanzania inashindwa kusomesha mainjinia wa kutosha na hivyo kusababisha mainjinia kuwa wachache, hiyo sio sifa,ni udhaifu unaotakiwa kurekebishwa.
Haukulazimishwa kusoma Engineering, kama unaona ulipata shida.
Sasa Engineer na PhD wapi na wapi?Moja ni academic title moja ni professional tittle. Nadhani unaamini Engineer ni mjenga barabara na majengo tu.Sio kila Engineer ana "site" yakhe.
 
Mleta mada kwa nini usiwaulize ERB wakujibu swali lako maana wao ndio wanajua nani mhandisi na nani siyo mhandisi. Mtu anaweza kuwa aligraduate with Adv. Dip. in Eng. lakini akajiendeleza kwa elimu ya juu kama PGD, na kufanya mitihani ya bodi. Lakini pia elewa sheria ya ERB ilifanyiwa marekebisho mwaka 2007, Engineering Registration Board (Ammendment) Act. No. 24 2007. Inawatabua wote waliosoma taaluma ya uhandishia kuwa ni wahandisi katika level mbalimbali ili mradi wawe wamesajiliwa na ERB.

Basi tuambie wewe maana unajitia kujua halaf unaishia kuuliza maswali
 
Kadri ya uwezo wetu kwenye kila tasnia ndo hivyo. Hata idadi tu ya wataalam wa fani mbalimbali haina uwiano na idadi ya watu.
Ni kujidanganya kufikiri kwa kuwa tunao Engineers tutakuwa sawa na US, GERMANY AU SA kirahisi!

Ninachokataa mimi ni kubeza eti hakuna Engineers Tanzania. Huku ni kupotoka kwa hali ya juu.
 
A poor argument indeed.
Mkuu uinjinia haupigiwi kura, ni wale wenye uwezo wa kuupata tu ndio wanatunukiwa.
Tatizo lako laweza kuwa si tu lack of achievent kufikia hapo, lakini donge vile vile,
Mtu akiitwa Eng wewe unaumia nini?
Na jitahidi kufuatilia sheria ya usajili wa mainjinia upate kuelimika.

Kwa nini unafikira nina donge kwa huyo Manyanya kujiita injinia akienda kuomba kura Mbinga?
kwa nini unafikira lack of achievement inasababisha mtu kupinga misuse ya tittle flani?
kwa hiyo wasiopenda JK na wenzia kujiita Dr. wana donge kwa JK?
Just Curious.
 
Kadri ya uwezo wetu kwenye kila tasnia ndo hivyo. Hata idadi tu ya wataalam wa fani mbalimbali haina uwiano na idadi ya watu.
Ni kujidanganya kufikiri kwa kuwa tunao Engineers tutakuwa sawa na US, GERMANY AU SA kirahisi!

Ninachokataa mimi ni kubeza eti hakuna Engineers Tanzania. Huku ni kupotoka kwa hali ya juu.

Wewe unachanganya madawa.

Nimekueleza kuwa hakuna cha ajabu kuwa Injinia, ni kazi kama kazi nyengine. Usingejipeleka wewe chuoni kusomea wangeenda wengine badala yako. Kuwa injinia sio kipaji adimu kuwa kila mtu akijue hata asiyehusika. ile ni taaluma na kazi kama kazi nyengine.

wataalamu wa kutosha ni chachu muhimu kwa maendeleo, sio lazima iwe papo kwa hapo, ila hawaepukiki. Kuwa na hawa wenye kujiita mainjinia dodoma wamekaa siku nzima pale haisaidii chochote.
 
Kwa categories za ERB Tanzania, fresh graduate wenye Stashahada ya Juu ya Uhandisi huanza na Graduate Technician Engineer, wakati wenye Shahada ya Uhandisi wanaanza na Graduate Engineer. Kwa maana nyingine, ERB inawatambua wote wenye Stashahada ya Juu na wenye Shahada ya Uhandisi kama Engineers, tofauti ni category unayoanza nayo (na si unayoishia nayo). Kutegemeana na utakavyojiendeleza kitaaluma na kiweledi, mwenye category mojawapo katika zote hizo huweza kuja kuwa Professional Engineer. Hata hivyo siku hizi Graduate Technician Engineer naona kama vile ERB wanaiita Graduate Incorporated Engineer. Kwa hiyo kama SM ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi basi ni Engineer ila category yake aliyoanza nayo ndo itakuwa tofauti na ile ya wenye Shahada ya Uhandisi

Kuna mwenye akili mmoja kasema kwenye tovuti ya ERB jina la Stella Manyanya halimo sasa nyinyi mnakuwa na maelezo mengiiii
 
By definition and qualification, she's an engineer (period) and the registration body (ERB) has nothing to do with her qualifications. You don't become an engineer by registering your name and qualifications. You become one by undergoing rigorous training and passing exams. She did that and there's no reason to disqualify her.

Now with regard to Advance Diploma in Engineering programs, these programs met all requirements needed to prepare and train future engineers. Equally important, people who graduated from these programs are in the same leagues as those who have finished in other engineering programs. So stop degrading fellow countrymen. Just because they don't fit your definition, it doesn't they are not one.

ERP is a professional organization which give you a recognition in the area of your expertise. Recognition doesn't mean that those who aren't registered aren't engineers or have less academic qualifications than those who are registered. So don't disqualify her because her name isn't in the register.

Regarding the user of her titles, probably she isn't modest. However, she has earned them by sweat and blood. You don't complain when medical doctors use their titles. Why do you find it a problem when engineers use theirs?
 
Kuna mwenye akili mmoja kasema kwenye tovuti ya ERB jina la Stella Manyanya halimo sasa nyinyi mnakuwa na maelezo mengiiii

For your information ERB doesn't make you an engineer. Your academic qualifications make you one. She was an engineer in 1992, five years before ERB was launched.
 
Je ukisoma kozi ambayo mwishoni haina engineering je unaweza kua mhandisi ukimaliza iyo degree?? Mfano... bachelor of science in electronic science and communication ya udsm.
Electronic Science na electronic eng ni vitu viwili tifauti. Japo madarasa mengi yanafanana lakini in 3rd and 4th yr ni njia mbili tofauti. Angalia concentration ipo wapi
 
Bodi haitokutambua kama haujasajiliwa. Kumaliza BSc in Eng or Beng hai maanishi tayari umekua engineer unae tambulika na bodi.

Who cares about bodi za kisiasa, Nchimbi alikwa Dr kabla hata hajamaliza PhD. Hao wanasiasa na liccm lao linaharibu kila kitu
 
Ushamba tu unawasumbua. hakuna haja ya hamaki ni kitu cha kawaida sana kuwa mshamba.
Hakuna Adha yoyote kuwa injinia wewe, kama ulipata shida kuhitimu na kuwa injinia, labda ulikuwa una "hit" above your belt.
Engineering kama taaluma nyengine ni taaluma, hakuna kitu cha ajabu sana kuwa injinia. Mie binafsi nakerwa na tittle zote za kijinga, pale zinapoitwa au kuwekwa zisipostahili.

Mkuu Mimi naona ni chuki binafsi hiyo ni title , ambayo mtu hajiiti Bali taaluma yake , kama ya taaluma yako haina initial tulia tu. Punguza wivu kila kitu na watu wake hatuwez kuwa sawa , usiwachukie engineers wakati ndio wanakuweka mjini , tukiacha title hiyo engineering ina mchango mkubwa sana katika hii dunia kuliko fani yoyote ile

Hivyo huo ushamba , n sababu wamepiga hatua katika kuisaidia jamii , naamin kuna kitu kinakukereketa tu ,ila ukweli ndio huo

Punguza chuki mkuu
 
Kwa nini unafikira nina donge kwa huyo Manyanya kujiita injinia akienda kuomba kura Mbinga?
kwa nini unafikira lack of achievement inasababisha mtu kupinga misuse ya tittle flani?
kwa hiyo wasiopenda JK na wenzia kujiita Dr. wana donge kwa JK?
Just Curious.
Waachie waliouhenyea u Eng wajiite hivyo, siku wakiwa wengi relevancy ya kujitofautisha itapotea yenyewe,
And thats a simple fact of life.
 
Huku kwetu ili tukutambulishe lazima uwe na Tittle mmenierewa
Kweli mkuu kwa kutaka kutambulika, hata wakulima wajanja kama yule wa Korogwe wanajiita "profesa".
Hata kama ni kwa utapeli.
Ones personal sacrifice , struggle and achievement must be noted, hivyo vingwangwa walioshindwa ku pursue masomo magumu ya practical sciences halafu leo wanaya relegate, huo nafikiri ni muendelezo wa ufinyu wa akili zao.
 
Previously:


Sihoji kwanini/amewezaje kuwa Mbunge kwa kuwa elimu sio kigezo cha mtu kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa Mbunge. Maswali yangu ni haya hapa chini?

1. Engineers ambao ni members hapa JF nisaidieni, kwa utaratibu wa taaluma yenu ni mtu mwenye qualifications zipi anaitwa Engineer (Eng).

2. Kwa waliosoma/wanaosoma UDSM, hiyo postgraduate ambayo Mhe anasoma kwa miaka sita ni yakitu gani hapo Mlimani?

Mwishi nimependa publications za Engineer...LoL

Member of Parliament CV

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 3"]GENERAL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Salutation[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: transparent"]
Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]First Name: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Stella[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Middle Name: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Martin[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Last Name:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Manyanya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: transparent"]Special Seat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Constituent:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]No Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Political Party:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Office Location:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]P.O. Box 77605, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Office Phone: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]+255 787 050050[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Ext.: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Office Fax: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Office E-mail: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]smanyanya@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Member Status: [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Date of Birth [/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]4 August 1962 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 5"]EDUCATION[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: transparent"]
School Name/Location
[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: transparent"]
Course/Degree/Award
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
Start Date
[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: transparent"]
End Date
[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]
Level
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Maguu Primary School, Mbinga[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Primary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1970
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1975
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Songea Girls' Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Secondary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1976
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1979
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Full Technician Course (FTC)
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1980
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1983
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Advance Diploma (Electrical Eng.)
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1987
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1992
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
ADV DIPLOMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
PGD (Electric Power Distribution System)
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1995
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1996
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
POSTGRADUATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]University of Dar Es Salaam (UDSM)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Post Graduate
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2005
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
To Date
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
POSTGRADUATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Nambingi Primary School, Mbinga[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Primary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1969
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1970
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 4"]EMPLOYMENT HISTORY [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
Company Name
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Position
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
From Date
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
To Date
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member - Special Seat[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2005
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]TANESCO[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Head of Department (Engineer - Regional Level)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1993
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Electrical Technician[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1983
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1987
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 4"]POLITICAL EXPERIENCE [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 47%, bgcolor: transparent"]
Ministry/Political Party/Location
[/TD]
[TD="width: 31%, bgcolor: transparent"]
Position
[/TD]
[TD="width: 12%, bgcolor: transparent"]
From
[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]
To
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member - National Operation Committee (Parents)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2010
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member - National Executive Committee (NEC)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2007
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member - UWT, Ruvuma[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2005
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member - Economic Committee[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
2003
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Chama Cha Mapinduzi (CCM)[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Member[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
1997
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
To Date
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 2"]PUBLICATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
Description
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
Date
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1996[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1996[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1996[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1996[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Only in Tanzania, where non achievers castigate achievers.
Mtoa mada naw piga kampeni uchaguliwe kuwa injinia!!!
 
Kamuulize Babu yako Kingunge ukitaka kumjua Manyanya.
 
Nakuamini mzee tupa tupa kwa kutupa mawe yako gizani safari hii umemtupia kada mwenzio fundi mchundo anayejiita injinia, ha! ha! ha! tisha sana.
 
You make way too many assumptions,then use them as base to justify irrational misuse of professional tittles in audiences that aren't intended to.

Sasa huyo Mjamaa Kimweri, unayemzungumzia anafanya kazi kwa hao waingereza wako, na hakuna mtu anayemuita mwenzie injinia kwenye social circle wala wakiwa kazini. Kila mtu anajiamini kuwa ana sifa za kuwa injinia, hahitaji kukumbushwa kila jina lake linapoitwa.

Usichanganye ceremonial tittles na professional ones.

Kumbuka sikukataza watu kuitana mainjinia, dr, professor kadha wa kadha.., wakikutana mabarabarani. kama huo ushamba wanaona ni jambo jema waendelee nalo,wakistaarabika wataacha.
Titles will remain to be titles, whether achieved through ceremonial achievements or otherwise.
The main purpose here is to distinguish achievers from non achievers.
Kama huko uliko unakaa na non achievers, well, the need to distinguish yourself from the rest of the pack becomes more than necessary.
Kama katika congregation of engineers, it becomes apparent that only that engineer that has surpassed the ordinary will be noted.

Sasa pmoja na titles, I personally would like to be noted for who I am, standing out from a crowd.
If you have no ambition to achieve and later be noted for what you are, buddy, just walk the treadmill!!!
 
jf acheni utani , kumbe nasoma thread ya 2012. ni nini hi sasa.
 
Back
Top Bottom