Ina maaana,ni techncian tu!au
Surely it is, my learned brother, setting a precedence for future reference!But referenced; that is allowed
Eng Stella Manyanya, wa kunyumba, rest assured ma Eng tupo nyuma yake, no sambamba!Ni Professional Engineer(PE)!
Hivyo jina lake linaandikwa hivi:-
1. Eng Stella Manyanya
2. Stella Manyanya PEng(T)
Huo ndo mwongozo kwa kila PE!
Unajidanganya ndg yangu na pengine huzijui siasa za nyasa Manyanya kafanya nini katika kipindi chake cha ubunge wa viti maalum zaidi ya kuomba DED akakwae barabara za pale kihagara kwao? hata hile zahanati ya kihagara ni mkopo halmshauri ya mbinga ilikopa kwenye mfuko maalum TAMISEMI unaposema sifa ya manyanya kuwa mbunge wa nyasa ni kuijua ofisi ya spika hivi akili yako inafanya kazi sawasawa? subiri uone nakuhakikishia Manyanya akipitishwa na ccm CHADEMA inashinda asubuhi Manyanya hana ubavu wa kushindana na mgombea wa chadema na wanaccm wanalijua hilo subiri uonehayo ni mawazo yako si mawazo ya wana mbinga magharibi . Hakuna anayekuzuia kuongea lakini ukweli utabaki kuwa huyo ndio mrithi wa capt. komba. Hao wengine akina shauri, Maluka , Mwisho wanamsindikiza tu safari yake ya kwenda bungeni dodoma. Wana nyasa hatutaki kumkabidhi mtu jimbo ambaye hata ofisi ya spika haijui .
Unajidanganya ndg yangu na pengine huzijui siasa za nyasa Manyanya kafanya nini katika kipindi chake cha ubunge wa viti maalum zaidi ya kuomba DED akakwae barabara za pale kihagara kwao? hata hile zahanati ya kihagara ni mkopo halmshauri ya mbinga ilikopa kwenye mfuko maalum TAMISEMI unaposema sifa ya manyanya kuwa mbunge wa nyasa ni kuijua ofisi ya spika hivi akili yako inafanya kazi sawasawa? subiri uone nakuhakikishia Manyanya akipitishwa na ccm CHADEMA inashinda asubuhi Manyanya hana ubavu wa kushindana na mgombea wa chadema na wanaccm wanalijua hilo subiri uone
Nijibu kuhusu alilolifanya Manyanya Nyasa kipindi cha ubunge wake wa viti maalumu, kama ulihudhuria sherehe za miaka 38 ya ccm aliulizwa na wananawake kwa nini kawa mbinafsi ?hapokei simu zao na wala hajibu sms zao na hata wakimshirikisha shughuli zao za kichama haonekani wala kutoa feedback kisa ukuu wa mkoa wamemuambia akaendelee na ukuu wa mkoa na viti maalumu safari hii wamatengo wamesema ni lazima wapewe wao hivyo mgombea wa ccm nyasa atakuwa mwanaume mwenye sifa....kuhusu hao wagombea uliowataja toka ccm Oddo Mwisho hana sifa ya kuwa mbunge, kwa sababu amefeli mengi akiwa mwenyekiti wa halmashauri ya mbinga na kisa nyasa ni mtu aliyewekwa hapo alipo kwa fedha za lowassa kupitia marehemu kwa sababu kabla ya hapo alikuwa ni katibu tu wa mbunge Komba na kwa taarifa yako Mwisho hata udiwani wa chiwanda anajua hataupata na ndio maana anakwenda kugombea kata ya Masumuni mbinga yaliko makazi yake, Allex Shauri alishamaliza nguvu 2010 na hakurudi tena hadi baada ya kifo cha Komba, Maluka angefaa na anazo sifa lakini haijui mifumo ya ccm vizuri nikuambie Nyasa mwaka huu inaenda upinzani Mark my word nduguunajidanganya sana mkuu, eng . atapita kwenye kura za maoni na chadema hawana ubavu wa kubeba jimbo hilo kwa mwaka huu . Hamna mwanasiasa wa level ya manyanya pale nyasa. Manyanya ni mwanasiasa wa level ya juu ya kitaifa .
Nijibu kuhusu alilolifanya Manyanya Nyasa kipindi cha ubunge wake wa viti maalumu, kama ulihudhuria sherehe za miaka 38 ya ccm aliulizwa na wananawake kwa nini kawa mbinafsi ?hapokei simu zao na wala hajibu sms zao na hata wakimshirikisha shughuli zao za kichama haonekani wala kutoa feedback kisa ukuu wa mkoa wamemuambia akaendelee na ukuu wa mkoa na viti maalumu safari hii wamatengo wamesema ni lazima wapewe wao hivyo mgombea wa ccm nyasa atakuwa mwanaume mwenye sifa....kuhusu hao wagombea uliowataja toka ccm Oddo Mwisho hana sifa ya kuwa mbunge, kwa sababu amefeli mengi akiwa mwenyekiti wa halmashauri ya mbinga na kisa nyasa ni mtu aliyewekwa hapo alipo kwa fedha za lowassa kupitia marehemu kwa sababu kabla ya hapo alikuwa ni katibu tu wa mbunge Komba na kwa taarifa yako Mwisho hata udiwani wa chiwanda anajua hataupata na ndio maana anakwenda kugombea kata ya Masumuni mbinga yaliko makazi yake, Allex Shauri alishamaliza nguvu 2010 na hakurudi tena hadi baada ya kifo cha Komba, Maluka angefaa na anazo sifa lakini haijui mifumo ya ccm vizuri nikuambie Nyasa mwaka huu inaenda upinzani Mark my word ndugu
Aisee kijana unapotoka na unaleta hoja za kihalisia kazi ya mbunge sio kutoa fedha kazi yake ni kuhakikisha fedha zinazotelewa na serikali zinafanya kazi iliyokusudiwa aangalie kaba mpango wa bajeti wa halmashauri unaendana na vipaumbele vya halmashauri zana awepo kwenye vikao vya maamuzikwa ratiba kama hutaki basi ni tatizo lako kuhusu upinzani nyasa usijidanganye na matokeo ya December usiyafanyie conclusion kwenye tathmini ya kisiasa nyasa angalia uwingi wa wapiga kura katika maeneo chadema wameshinda na angalia pia margin ya ushindi wa ccm kwenye maeneo waliyo shinda kasha jumlisha idadi ya kura zote za ccm na chadema kasha ufanye hitimisho ni kweli milimani chadema hawakuelekeza nguvu kubwa lakini ukumbuke kutokana na mapingamizi chadema ilisimamisha wagombea wane tu katika vijiji vya Tingi, Liparamba, Ukuli na Kingerikiti. Hapo Kingerikiti unapopasema Chadema Imepata vitongoji 2 na Ukuli kitongoji 1. Hivi kwa akili yako chadema wangeweka wagombea Dar pori na vijiji vya Liparamba ukiondoa kijiji cha Ndondo wangekosa? kuhusu Manyanya subiri Oktoba nakuambia hata ndani ya chama hapiti jaribu kuzungumza na wanaccm wa huko nakuambia kwa sababu Manyanya ni Binamu yangu wa damuHamna kitu kama hicho hilo jimbo haliwezi kwenda upinzani nakuhakikishia 100% upinzani bado sana nyasa isipokuwa kuna baadhi tu ya maeneo tena machache sana. Maeneo yote ya tarafa ya mpepo chadema hawapo kabisa kuanzia liparamba, luhangarasi kingerikiti na tingi . huko chadema waliwahi pata kuwa na mwenyekiti wa kingerikiti lakini mwaka jana wamekabidhi ccm. Mark my word manyanya ndio mrithi wa komba oktoba sio mbali. Hakuna mwenye sifa ya kupambana na manyanya kule nyasa , hao wanawake unaosema walikuwa wanalalamika ni njaa tu pengine na yy alikuwa anawapuuza alishajua hagombei tena viti maalum labda alishajipanga kuingia kwenye jimbo ndio maana akaona hao hawana manufaa kwake akawa anawapotezea . Maluka bado siasa za ccm hazijui afadhari angeingilia mlango wa chadema kidogo angeleta changamoto lakini si mlango huo wa ccm alioingilia atapoteza fedha zake bure kama shauri 2010 akaishia kuwa na madeni kibao. Halafu suala la kusema kafanya nini nyasa yeye hakuwa mbunge wa nyasa alikuwa mbunge wa mkoa (viti maalum) na wala fedha za mfuko wa jimbo ambazo zina gear up maendeleo hakabidhiwi yeye anakabidhiwa mbunge wa jimbo sasa wewe ulitaka atumie fedha za mshahara wake kuhudumia jimbo ambalo lilikuwa na mbunge tayari john komba . Mbunge hatumii fedha zake kuhudumia jimbo
Aisee kijana unapotoka na unaleta hoja za kihalisia kazi ya mbunge sio kutoa fedha kazi yake ni kuhakikisha fedha zinazotelewa na serikali zinafanya kazi iliyokusudiwa aangalie kaba mpango wa bajeti wa halmashauri unaendana na vipaumbele vya halmashauri zana awepo kwenye vikao vya maamuzikwa ratiba kama hutaki basi ni tatizo lako kuhusu upinzani nyasa usijidanganye na matokeo ya December usiyafanyie conclusion kwenye tathmini ya kisiasa nyasa angalia uwingi wa wapiga kura katika maeneo chadema wameshinda na angalia pia margin ya ushindi wa ccm kwenye maeneo waliyo shinda kasha jumlisha idadi ya kura zote za ccm na chadema kasha ufanye hitimisho ni kweli milimani chadema hawakuelekeza nguvu kubwa lakini ukumbuke kutokana na mapingamizi chadema ilisimamisha wagombea wane tu katika vijiji vya Tingi, Liparamba, Ukuli na Kingerikiti. Hapo Kingerikiti unapopasema Chadema Imepata vitongoji 2 na Ukuli kitongoji 1. Hivi kwa akili yako chadema wangeweka wagombea Dar pori na vijiji vya Liparamba ukiondoa kijiji cha Ndondo wangekosa? kuhusu Manyanya subiri Oktoba nakuambia hata ndani ya chama hapiti jaribu kuzungumza na wanaccm wa huko nakuambia kwa sababu Manyanya ni Binamu yangu wa damu
Kama Si Eng. ni nani? mwalimu? Muhasibu, fundi mchundo au? na alisha wahi kuwa customers services Eng. pale Tanesco Kinondoni north ? Je hakuwa ana qualify?
jf tulipata kuwa na member akiitwa Fundi Mchundo. huyu angeweza kutueleza
ukweli juu ya uinjinia wa mh. manyanya
Tulipata? Mimi bado ni mwanachama, sijajiengua bado.
Tafsiri ya Fundi Mchundo ni Technician. Nadhari kilichokuwa kikidaiwa ni kuwa huyu mama ni Technician na sio Engineer.
Amandla.......
dah! kiongozi chimbo ulilojificha ni kali maana kimyaa. umepotea kama game theory hahahaha
nashukuru kama bado upo jf
Hili Jukwaa la siku hizi siliwezi. Naona heri nibaki mtazamaji tu na kuchangia mara moja moja. Lugha zinazotumika mara nyingi zinapitiliza na kugeuza mijadala kuwa vita vya hadi afe mtu. Sisi watu wazima hayo hatuyawezi.
Amandla.....
Lakini kwa nini huu mtindo katka miaka ya hivi karibuni umeshika kasi sana?
Babu nadhani umevamia mada bila kujua ni nini hasa kinachojadiliwa,hujasema lolote zaidi ya kujitangaza ni engineer, for my side wakati nachukua my first degree pale mlimani B.sc in electro-mechanical engineering vilaza wengi walikua na tabia ya kuji advertise kila mahali anataka aitwe mhandisi,mhandisi wa kweli lazima uwe umefanya vitu vinavyo onekana angalia europe tofauti na sisi watanzania tunafikiri ukisha graduate basi ni mhandisi.umenisoma, i think your thinking ability is very low.