Mkuu unapoengelea taaluma ya engineering , unagusa watu muhimu katika dunia after GOD,
Pia engineering sio kujenga Barabara tu, hiyo ni part tu ndani ya engineering na kiuhalsia civil engineering ni miongoni mwa fani kongwe za engineering duniani lakini zipo fani nyingi za engineering mfano, mechanical engineering,software engineering,electrical engineering,agricultural engineering, bio processing engineering, computer engineering n.k
Hivyo fahamu kuwa duniani , mainjinia ndio wameibadili hii dunia ilivyo sasa,huwez mlinganisha engineer na MHASIBU,mwalimu, mwanasheria na the like , ukweli utabaki pale pale kuwa title itabaki kuwa title ,
Artist , ha ha ha , kudesign hiyo apple ,ungesema architect ningekuelewa kidogo pia kumbuka engineering anasoma hata hiyo design na anasoma vitu ambavyo mwanasheria,MHASIBU, mwalimu, architect n.k lakini hizo fani hawawez soma course za engineering , hivyo uelewe engineer ni kila kitu , na hiyo title hailazimishwi Bali inatokana na fan yenyewe, ukiwa chuoni unaitwa Dr kama unasomea udaktari , utaitwa engineer kama unasomea engineering , utaitwa mwanasheria kama unasomea sheria na utaitwa mwalimu kama unasomea ualimu .
Hizo n title zinakuja kutofautisha carrier ya mtu ,
Mkuu , utabisha lakini ukweli utabaki kuwa ukweli , 'God created the world as it is but engineers change the world that has never ever been'
Hiyo ndio tofauti ya engineering na fani nyingine, engineers wana deal na kutatua matatizo ya jamii,