BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Dr. Marry Nagu je?
Hebu tuletee na taarifa za madokta na maprof huko chamani. Maana ni wengi kweli lakini wakiongea ni kama darasa la 7c, enzi hizo 7a lilikuwa la wenye akili.
Labda hilo jina Injinia ni lake la kinyumbani kama vile "Jenerali" Ulimwengu. Sasa watu wanakosea na kuliita Engineer bada ya Injinia. Ni mawazo tuu.
SM ni Fundi Mchundo..
Muimu ni kupata BSc in Eng then bodi itakutambua, not otherwise.
mbona dr ni pfof wakati hatambuliki na jopo la wanazuoni?
Muimu ni kupata BSc in Eng then bodi itakutambua, not otherwise.
Je ukisoma kozi ambayo mwishoni haina engineering je unaweza kua mhandisi? Mfano... bachelor of science in electronic science and communication ya udsm.
Hiyo sio engineering mkuu.Engineering ni B.Eng,Bsc.Eng na B.Tech Eng
sema vizuri weyeeee... Dr. Yupi?
Labda hilo jina Injinia ni lake la kinyumbani kama vile "Jenerali" Ulimwengu. Sasa watu wanakosea na kuliita Engineer bada ya Injinia. Ni mawazo tuu.