Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
au generali defao
Ha ha ha! Huko tunakoelekea itafika mahali tutasema Hata Profesa Majimarefu jina lake la kwanza la asili ni Profesa tuu.
au generali defao
Duh wenyewe wanapenda! Wanataka waitwe Eng. fulani ama Mhandisi Fulani. Usipowaita hivyo ugomviHehe, huu ni ushamba wa kiafrika.
Ofisini kwangu PhD ni minimum requirement ya kufanya kazi hapa,kwa lugha rahisi ukiondoa office attendants kila unayekutana naye ndani ya jengo ni PhD holder na asilimia 90 ni kweny Engineering field, sasa tungekuwa wote tunaitana Dr, Eng, etc Flani fulani si ingekuwa tunachoshana?
Haidian District,China kuna Mainjinia wasiopungua Milioni Moja, hii ni wilaya moja ndani ya Jiji la Beijing, sasa hawa wote wakijiita mainjinia si ungekuwa utata?
Hapo kwa Manyanya sioni substance, naona mshamba asiyejitambua. Chunguza utagundua huu upuuzi umejaa kwenye Banana Republics.
Sehemu Pekee ninayotegemea kukuona unajiita Dr ni wakati nasoma Academic work yako, Kinyume na hapo, hiyo ni criteria ya kutokuendelea kusikiliza au kusoma unachoandika. Sehemu Pekee ninayotegemea kukuta unajiita Engineer ni kwenye professional work presentation.
Engineering ni kama taaluma nyengine, nachukia huu upuuzi wa ku-overuse hii salutation, kwa kuwa inaondoa maana nzima.
Hehe, huu ni ushamba wa kiafrika.
Ofisini kwangu PhD ni minimum requirement ya kufanya kazi hapa,kwa lugha rahisi ukiondoa office attendants kila unayekutana naye ndani ya jengo ni PhD holder na asilimia 90 ni kweny Engineering field, sasa tungekuwa wote tunaitana Dr, Eng, etc Flani fulani si ingekuwa tunachoshana?
Haidian District,China kuna Mainjinia wasiopungua Milioni Moja, hii ni wilaya moja ndani ya Jiji la Beijing, sasa hawa wote wakijiita mainjinia si ungekuwa utata?
Hapo kwa Manyanya sioni substance, naona mshamba asiyejitambua. Chunguza utagundua huu upuuzi umejaa kwenye Banana Republics.
Sehemu Pekee ninayotegemea kukuona unajiita Dr ni wakati nasoma Academic work yako, Kinyume na hapo, hiyo ni criteria ya kutokuendelea kusikiliza au kusoma unachoandika. Sehemu Pekee ninayotegemea kukuta unajiita Engineer ni kwenye professional work presentation.
Engineering ni kama taaluma nyengine, nachukia huu upuuzi wa ku-overuse hii salutation, kwa kuwa inaondoa maana nzima.
Eng. @MAXCES MELLO from DIT
previously:
[TABLE="class: Msonormaltable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent, colspan: 2"]publications[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"][/TD]description
[TD="bgcolor: Transparent"][/TD]date
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"]s.m. Manyanya: Reinforcement of distribution network in kariakoo area, dar es salaam[/TD]
[TD="bgcolor: Transparent"]1996[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"]s.m.manyaya: Challenges facing enterpreneurs in mbinga, dar es salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: Transparent"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"]s.m.manyaya: The effectiveness of enterpreneurship incubators in fostering income generating activities, dar es salaam.[/TD]
[TD="bgcolor: Transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"]s.m.manyanya: mimba za utotoni ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake, mtanzania gazeti 19, songea[/TD]
[TD="bgcolor: Transparent"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: Transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: Transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Duh wenyewe wanapenda! Wanataka waitwe Eng. fulani ama Mhandisi Fulani. Usipowaita hivyo ugomvi
Hiyo ni ofisini kwako ni sawa,hata Mimi ofisini kwangu kuna mainjinia wengi ambao pia ni madokta na maprofesa lakini hiyo haitoi sifa yao ya uhandisi
Nachomaanisha ni taaluma chache zenye initial ya kueleweka na yenye nguvu ,mfano Eng, Dr , n.k
Na title ndio humtambulisha mtu kwa wasiomfahamu pia hii husaidia kutoa fursa kwa namna moja au nyingine ya kupata msaada wa kitaaluma n.k kwa kufahamu taaluma ya mtu ,
Huo ndio uhalsia , lazima tofauti iwepo ili kuwatofautisha watu ndio maana baba wa taifa alipenda kuitwa mwalimu sababu ndio fani yake , nkwame Nkrumah aliitwa Dr , sababu ndio taaluma yake
Hatuwezi kuwaweka katika daraja sawa la title , japokuwa elimu waweza lingana
Title itabaki kuwa title mkuu
Kuna kitu kinaitwa kujiita na kuitwa, yaani names na titles. Names ni majina mtu anavyopenda kuitwa, hahitaji registration popote wala ruhusa ya yeyote kujiita hivyo.
Tuna ma Profesa kibao wakiongozwa na Profesa Matikisa, Profesa Singira, Profesa Maji Marefu, Profesa J wa Mitulinga, tuna ma daktari kibao, Dr. Ngizukulu Jilala, Dr. Kifimbo, Dr. Manyaunyau etc, hata tuna Diamond Platinum, Tuna Mwanafalsafa,etc hivyo ni ruksa yoyote kujiita vyovyote. Ila inapokuja kwenye formal name ni jina linaloonekana on any formal registrations, hili ni jina halisi na title halisi.
Kwenye hizi titles, zipo titles ambazo sio halisi, bali zinaandikwa kiuhalisia by proxy. Mfano Medical Assistant or RMO anaitwa Dr. Na anaandikwa Dr. Ila sio Dr. Stella Manyanya ni Eng. Stella Manyanya by proxy, ni halali yake kuitwa, kuwa addressed na kuandika Eng.
Pasco
Narudia Tena, Kujiita Injinia flani kwenye kikao cha harusi, kwenye TV au kwenye Mkutano wa Siasa ni USHAMBA. Kama unajiita hivyo, acha, au endelea kujijua wewe ni mshamba.
Kuwa mshamba sio kitu cha ajabu. Usikasirike.
Tazama watu wenye elimu zisizo na mashaka, tafuta hata mmoja anayejiita Injinia, Profesa, dokta etc etc.
https://www.google.com/about/company/facts/management/
Hakuna, ingawa hiyo ni moja kati ya sehemu ambayo technically, angesamehewa kufanya hivyo.
Huu upuuzi wa kutukuza tittle, ndio maana unakutana na Prof,Dr wa kitanzania toka ahitimu pepa pekee aliyoandika ni ya kuomba donor funds. Halafu anakaza mishipa watu wamuite Dr, for what??
Wanaudhi sana hawa watu, Na huu mtindo wa kutanguliza fani mtu aliyosomea umeshamiri sana siku hizi. Utakuta Mhasibu flani, adv. flani, eng. so and so.....like we care to know what the *** you went to school for.
Hadi leo anasoma Post Graduate diploma, atamaliza 2020Wanaudhi sana hawa watu, Na huu mtindo wa kutanguliza fani mtu aliyosomea umeshamiri sana siku hizi. Utakuta Mhasibu flani, adv. flani, eng. so and so.....like we care to know what the *** you went to school for.
Mkuu unaweza sema pia ni ushamba kusoma engineering au medicine , wao hawajiiti Bali title zao ndio hufanywa waitwe hivyo , ukubali ukatae iwe kwa chuki au heri huo ndio uhalsia
Kusoma sio Ushamba, Ushamba ni kulazimisha watu wasiohitaji kufahamu hiyo tittle, na wasiofaidika na hiyo extra information unayowalazimisha nayo kuifahamu.
Kwenye Kikao cha harusi au msiba nani anataka kujua wewe ni injinia? Ukiwa hospitali ndio kila mtu anayekuja kuhudumiwa atahitaji kujua wewe ni daktari, ukiwa kwenye eneo la kazi ya "engineering" labda kuna wakati kuna mtu anaweza kuhitaji kufahamu nani ni Engineer, incharge au supervisor. Mbali na hapo, your tittle is useless and definetly not somehting i will want to read or hear on every sentence your name is mentioned.
Mimi nafkiri ifikie kipindi tukubali tu , ukweli kwenye harusi au msiba inategemea aliyemtambulisha amemtambulisha ,tukubali tukatae kuna taalum ni very impressive ndio maana , huwa hivyo na pia tukumbuke initial huitwa sababu kuna ERB kwa Tanzania , kwa USA kuna ASAE n.k ,hivyo Dr's au Engineers sio hupenda kujiita Bali taaluma zao ndio huwatambulisha hivyo
Pia mwalimu atatambulika hivyo na taaluma nyinginezo, tunachoangalia ni initial ya taaluma na sio matumiz mabaya ya hiyo initial kama mtu anaitumia vibaya n yeye binafsi lakini , ukweli unabaki kuwa palepale