Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
Dont castigate what you may NEVER achieve.Narudia Tena, Kujiita Injinia flani kwenye kikao cha harusi, kwenye TV au kwenye Mkutano wa Siasa ni USHAMBA. Kama unajiita hivyo, acha, au endelea kujijua wewe ni mshamba.
Kuwa mshamba sio kitu cha ajabu. Usikasirike.
Tazama watu wenye elimu zisizo na mashaka, tafuta hata mmoja anayejiita Injinia, Profesa, dokta etc etc.
https://www.google.com/about/company/facts/management/
Hakuna, ingawa hiyo ni moja kati ya sehemu ambayo technically, angesamehewa kufanya hivyo.
Huu upuuzi wa kutukuza tittle, ndio maana unakutana na Prof,Dr wa kitanzania toka ahitimu pepa pekee aliyoandika ni ya kuomba donor funds. Halafu anakaza mishipa watu wamuite Dr, for what??
Mwache mtu ajiite apendavyo, wengine mna hemka kwa vile kufikia huko ni kwenda mbinguni .