Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at workKumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP"Tumefunga jalada la uchunguzi kushambuliwa kwa Lisu"Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Bro mbona kama umepaniki hivi na hii uzi?Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
ATAHAMISHIWA WIZARANI AKAWE DESK OFISAMhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.
Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.
"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.
Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.
Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Lissu kwasasa anasikilizwa hata na wote ndani na Nje ya Nchi. Ujinga mlioufanya wa Kumchapa TL Risasi Utawagharimu tu. Kumbuka Tanzania siyo Kisiwa na haina Nguvu yeyote ya Kutunishiana Misuli na Mataifa makubwa ya Nje.Hahaha kwani huko nje Lisu kakutana na nani zaidi ya kuongea HardTalk na DW?!
Wanaoleta pesa za ndani kaongea nao pia?!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe ndie jiwe?Mwajiriwa Mhadhiri wa UDOM amwonya mwajiri wake Serikali.Very interesting.Mwajiriwa kumpa barua ya onyo mwajiri.
Shwain wewe hujui ulisemalo! Lissu kwasasa anasikilizwa hata na Mabwana zako wote ndani na Nje ya Nchi. Ujinga mlioufanya wa Kumchapa TL Risasi Utawagharimu tu. Kumbuka Tanzania siyo Kisiwa na haina Nguvu yeyote ya Kutunishiana Misuli na Mataifa makubwa ya Nje.
Usianze kutoa mapovu...........Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Wewe dada unene unakuletea matatizoJiwe ile katiba inayokupa mamlaka ya ki mungu ujue Tanzania si dunia.
Leadership is about responsibility and accountability si kusifu juhudi na jitihada.
Kama maprofesa wenyewe ni dizaini ya yule wa Buguruni unategemea nini hapo? Yaani kutoka Profesa hadi propesa!!!!Kumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work