MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?