Mh................!!!

Mwanajamii1 yaani umenifanya nitabasamu..
Kuna kaka mmoja alioa Binti aliyekuwa changudoa
Wamekaa binti katulia na wakawa wamejipatia mtoto wa kike.
Mara binti akaanza vitabia vyake vya uchangu tena..
Hiyo ndoa haipo na dada anaendelea na hiyo kazi yake ..wakati kaka analea mwanae .

Loh hapa inasikitisha kuwa once gone bad, gone bad forever eh? mwe!! aksante dada kwa mfano hai huu
 
Sumu haijaribiwi kwa kuionja.

Jamaniiii...inakuwa sumu kama unakubali kuwa na huyo mtu ILHALI/WHILE ni wizi, malaya, etc...
Lakini hii nadhani ni kama ile wine aliyoibadili Yesu from maji...INAKUWA TAMU KULIKO DIVAI YENYEWE!!!
 
Inategemeana amekueleza ameachaachaje mambo hayo!
Je anaonesha majuto ya kile alichokuwa anafanya?
Au alibanwa na jamii, familia au institution fulani ndipo akapumzika kutenda hayo?

Kama jibu lake ni hilo la 2, basi aweza kuja kwa kasi mbaya zaidi!
Check out!

Kaka mzima wewe?
Aksante kwa hili angalizo mwe...........nadhani kweli ni muhimu kujua hayo
Kama ameacha mwenyewe au ameshinikizwa!

But will you be ready to commit?? una mtu ambaye umekutana naye akiwa amebadilika na kipindi chote cha mahusiano lets say miaka miwili au mmoja hujawahimshuhudia akifanya matendo hayo !
 
Nadhani inategemea na maisha
Ayaishiyo sasa... kama ameridhika nayo
Anaweza asirudie..

Na kuna sababu ambayo ilimlazimu kufanya
Hivyo vitu .. lakini kama hiyo sababu haipo
Au imepungua basi anaweza asirudi..

Kingine kama amepata upendo wa kweli
Basi anaweza asirudi..

Naamini sisi binadamu tunafanya vitu vya
Kijinga ku ziba pengo fulani lakini
Ukipata mtu akuzibie au kitu fulani
Au uzibe mwenyewe basi wengi huacha
Hivyo vitu ...
Labda awe very addictive kama alcoholic
Lakini kama yuko tayari na msaada kidogo
Basi ataacha..
 
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.
Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?

Kuna uwezekano mkubwa mtu kurudia tabia yake kama wewe unatayetaka kumbadilisha utashindwa kumwelekeza kule unakotaka aende. Kuna ule msemo "kunguru afugiki". lakini kwa upande mwingine kunguru anafugika.

Kumbuka machangudoa, wezi, etc wameingia kwenye kundi kutokana na kukata tamaa au kutafuta shortcut ya maisha. Ili kumbadilisha huyu mtu inabidi kwanza kumrudishia tumaini alilopoteza. Unatakiwak um"tune" hadi ajue kile alichofanya ni kibaya. Inabidi uwe mwangalifu ili huyu binadamu ajue unamwamini na unaamini fika anaweza.

Dalili ndogo sana ya kutomwamini utamuua tena na atarudi kule alikotoka. Kazi ya kumbadilisha siyo ya siku moja na yahitaji moyo na subira kwani tabia zao ni tofauti na ulizozoea.. Lakini ukiwapa chance na muda wa kujijua wao wenyewe yes..kunguru anafugika..
 
Kumbadili mtu tabia ni kitu kigumu sana aisee
Sana sana atajibadili yeye mwenyewe kwa ridhaa yake

Dena aksante but nadhani hujanipata sawasawa mamito..........simaanishi kumbadili tabia! Wewe umemkuta keshabadilika sema ndio kaacha footsteps huko zenye madoa.................
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahaha!!!!

Uwezekano upo wa yeye kubadilisha mwenendo wake kwa kutegemea influence yako and how you treat him/her at the same time kuna wale wanawake ambao wanajiuza wanajikuta they fall in love with someone na hatimaye wanakuwa housewife i have seen one ambaye alikuwa anajiuza but ghafla akapata mwanaume ambaye alimpenda na hatimaye akakubali kuwa mke, thou pia kuna usemi unasema "Once a good girl has gone bad, she's gone bad forever"
Babu mbona unaruka kigingi?.........................unawezajikomiti kwa mtu kama huyu kwa kuamini kuwa atorudi nyuma?
Niliwahi kuuliza swali hilo miaka ileee bila kupatikana jibu muafaka....

Nadhani, jibu la msingi kwa swali hili yafaa kila mmoja wetu ajiulize mwenyewe.

Je,....zile tabia zako mbaya unazipa nafasi ya kuzirudia tena kwenye mahusiano mapya?
Kama jibu ni hapana, then who we you to judge others watazirudia?

Aksante Laaziz ...............nadhani ni sahihi kujievaluate na sisi wenyewe............lakini je ukijigundua kuwa wewe uko tayari ku'yaacha' yote utaijenga imani hiyo hiyo kwa mwenzi wako mtarajiwa??
Aksante kwa hiyo link
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wapendwa
Nawaamkua!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.

Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?

Kafir wanasema hawezi acha asili yake!
 
Babu mbona unaruka kigingi?.........................unawezajikomiti kwa mtu kama huyu kwa kuamini kuwa atorudi nyuma?

Aksante Laaziz ...............nadhani ni sahihi kujievaluate na sisi wenyewe............lakini je ukijigundua kuwa wewe uko tayari ku'yaacha' yote utaijenga imani hiyo hiyo kwa mwenzi wako mtarajiwa??
Aksante kwa hiyo link
Mjukuu sio kujikomiti ila kuna wale ambao wamebadilika ila unakuta wameacha alama za hayo mambo wapo wachahce wanaoweza kuanza maisha mapya.
 
Wapendwa
Nawaamkua!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.

Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?

Wanawake wengi hasa Tanzania au Africa wanafanya uchangu kutokana na maisha waweza kuta ana mtoto au watoto hela za kuwatunza hana so simple and easy job ni hiyo ila ikitokea akapata mwanaume wa kuishi nae na kumuoa nakwambia huwa watulivu zaidi ya yule MSIKITINI/KANISANI siku zote...nina mifano mingi hai....ila mwizi na jambazi, mbona ndo anaongeza matukio ili kipato kiongezeke maana mmekuwa wawili...
 
Dena aksante but nadhani hujanipata sawasawa mamito..........simaanishi kumbadili tabia! Wewe umemkuta keshabadilika sema ndio kaacha footsteps huko zenye madoa.................

Nimekuelewa sana nasisita tu kwamba labda niiweke hivi "Mtu kubadili/kuacha tabia yake ni ngumu" Atarudia tu
 
NN aksante nadhani kuna ukweli hapa kuwa yote yanawezekana but will you be willing kuingia mkataba na mtu wa aina hii bila kuwa na uhakika? kama hapana, utasubiri mpaka lini ndipo ujiridhishe na kufanya maamuzi?

Aksante Mkirua ......na huu ni mtazamo wa wengi!! sio kuwa tunawanyima second chances hao ambao wamebadilika??

Huo ni mtihani MJ kwasababu jaribu vitu vingine na sio Maisha ya ndoa hasa kwa sisi ambao Talaka ni Mwiko.....
 
Okay kwa hiyo unakubali sumu yawezajaribiwa eh?

Na unaposema anything can happen ina maana hata yule aliyekuwa 'msafi' kwa maana ya kutokuwa na footsteps chafu, ana possibility ya kuwa 'mchafu' huko mbeleni? Si ndio (Tukiweka push and pulling factors?)..........
Mjukuu maswali yote uliyouliza majibu yake ni kwamba inawezekana, hata yule ambaye anaonekana msafi might change his/her ways na hapo ndio wengi huwa hawawezi kukubali kuwa mtu fulani akiamua kubadilika anabadilika so it depends maana hapa tuna-judge tu wale ambao wanaonekana mienendo yao ilikuwa mibaya what about ambao mienendo yao ilikuwa ni misafi all of the sudden nao wamebadilika so i guess everything is possible under the sun

Ngoja nifanye mpango wa kukufanyia home delivery ya Keko Distilleries umeongea jambo la muhimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom