Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.
- Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
- Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....
Safi sana mkuu...Ila malizia kwa kusema kuwa ni vigumu kwa mtu kutambua sababu ipi hasa ndo imemfanya mhusika awe hivyo...Ndo maana wale wenzangu na mie walioona mengi wanashauri tuchukue tahadhari tunapotaka kufanya maamuzi ambayo yataathiri maisha yetu yote ya baadaye!