Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.
Mwambia asiwe soft killer wa kisiasa na asiwe mlafi na mroho wa madaraka
 
Unachoongea ni kwli na mtu kama le****a anafaa kua kiongozi wa panya road na c watu wenye akili timam mburula wwe

mburura ni wewe ambaye unatumia masaburi kuandika, CDM ameboa, CCM ameboa, ACT ameboa, juzi tu CUF kawaboa huko Mtwara Lipumba hana hamu, sasa mburula wewe huwezi tumia akili zako mpaka utazamie kila kitu??? hadi jina unakopi??
 
Upuuzi mtupu
  1. mchawi ..........anaamini katika nguvu za giza----panya panya , Wazee wa kigoma waliomba waende wakamzindike na mengine mengi
  2. ni mwansiasa ambaye ni msahulifu sana ...............usaulifu wake ni kama wale waadhirika hua anonge, hujichanganya sana katika kauli zake
  3. Mkanda sana
  4. Mdaku
  5. Msaliti--------------mtu anayeandika nyaraka za sirk kwa lengo la kuwapindua viongozi huyo kwako unamwit nani vile?, kwetu huwa twawaita #WASALITI
  6. Mpenda sifa
  7. Ndumi la kuwili
  8. Mla Rushwa
  9. Mbinafsi
 
Kuna kipindi lasime tuangalie "positive side" tusiwe "biased",the dude has done best things than the country has done to him.Tujiulize nasi tumeifanyia nini nchi hii kabla ya kubeza mazuri aliyoyafanya Zitto.

Tunalalamika kuhusu ccm.
 
Huyu ndo anayedauwa kuwa hazina ya taifa! Huyu ni mshenzi kupita washenzi wote kwenye siasa. We umealikwa halafu na wewe unaalika wanachama wa chama ambacho unajifichaficha kuwa mwanachama wake! Shame on you! Ni kama mtu umealikwa kwenye sherehe kwa kadi ya single halafi wewe unabeba na mchepuko kwenda nao! Huu ni upumbavu! Nadhani lipumba aliyekuwa anataka chadema wasuluhishane na zzk ameona kumbe kunguru hafugiki na chadema wamevumilia sana kuwa na type ya kishenzi kama hiyo. Nadhan prof hata amejionea mwenyewe jinsi chadema walivyohangaika na mzigo huo
Ujinga chuki uvivu wa kufikiri unawafanya muonekane mnauwezo mdogo wa kufikiria mnaamini kilakitu kinachoandikwa kumhusu zzk ivi mnaona raha gani kumsakama mtu anaejitolea uhai wake kwa ajili ya nchi yake au kwa kua hatokei arusha kwa staili hii chadema kuchukua dola labda kue na jamhuri ya watu wa kaskazini tumesha wachoka mwanzo mliiandama cuf name kuiita ccm b baada ya kugundua kua hamna uwezo was kushinda mkiwa wenyewe mmeanza kujipendekeza na kujifanya mnaunga mkono siasa za cuf VP sasa wameacha kua ccm b Mimi nawashauri mkishindwa uchaguzi mkuu badirisheni mfumo anzisheni jamhuri ya watu wa arusha na cdm iwe kikundi cha waasi mnaweza kufanikiwa. inshallah
 
Zzk alitaka kugombea uenyekiti chadema, baada ya hapo akaonekana msaliti.
Hivi mbowe na slaa wao malaika nini? Alafu wote wanatoka kaskazini nina wasiwasi hiki ni chama cha kaskazini. Alaf wote wakristo, nina wasiwasi hiki ni chama cha wakristo
 
Najiuliza sipati jibu kwann cdma wameahindwa mtumia huyu kama mtaji wa kisiasa kweli dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana
 
Uroho wa madaraka unaujua ?haki ya mtu itatewa kwa hali yeyote je alievunja katiba agombee uenyekiti yeye ana tamaa ya kuwa Mungu mtu?
 
Ukijadili hoja hii kwa kusimamia msimamo au mtazamo au tetesi za Mwenyekiti au chama au kikundi, huwezi ukatenda haki.Iruhusu akili yako ifunguke na kufikiria nje ya box ili uitazame hoja hii kwa upana zaidi.
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

kuna uwezekano unayoyazungumza yana ukweli ndani yake ila kwa upande wangu mimi naona zitto anapotezwa kisiasa na washauri wake,trust me hao ndio wanaomchimbia kaburi lake kisiasa.
 
Zzk alitaka kugombea uenyekiti chadema, baada ya hapo akaonekana msaliti.
Hivi mbowe na slaa wao malaika nini? Alafu wote wanatoka kaskazini nina wasiwasi hiki ni chama cha kaskazini. Alaf wote wakristo, nina wasiwasi hiki ni chama cha wakristo

una wasiwasi tu lakini hauna uhakika.
 
Lipumba alifarijika sana na wanamtwara kwa ujumla huu uzushi wa kumlisha maneno Lipumba haitabadili ukwweli Zitto ndio mwanasiaasa aliyopo kwenye kilele kumfikia mnatakiwa mngoje sana
 
Lipumba alifarijika sana na wanamtwara kwa ujumla huu uzushi wa kumlisha maneno Lipumba haitabadili ukwweli Zitto ndio mwanasiaasa aliyopo kwenye kilele kumfikia mnatakiwa mngoje sana

Mkuu,tatizo wengi wanafuata mkumbo.Pasipo kutafakari kwa umakini.
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

Zito anafaa zaidi kuwa "self styled politician" kuliko kuwa ndani ya chama. Atashia kuwa mbuge lakini sio zaidi ya hapo kwani amejiweka mbele zaidi nafsi yake kuliko kitu kingine na hawezi kuwa ndani ya chama bila kuleta fujo
 
Ninachojua zitto anacho ni uchawi tu ambao kaachiwa na wazazi wake hiyo ndiyo hazina pekee aliyonayo lakii siyo vinginevyo.

....simiyu yetu...umeenda mbali mzee...kumbuka mmoja wa wazazi wake keshatangulia mbele ya haki...mshughulike Mh: zitto yeye kama yeye...Mwacheni mama yule apumzike kwa amani
 
Lipumba alifarijika sana na wanamtwara kwa ujumla huu uzushi wa kumlisha maneno Lipumba haitabadili ukwweli Zitto ndio mwanasiaasa aliyopo kwenye kilele kumfikia mnatakiwa mngoje sana

....Siku ukweli ukija kujulikana sijui watamwangaliaje usoni Mh: Zitto...Jamaa yuko level zingine kabisa
 
Zzk alitaka kugombea uenyekiti chadema, baada ya hapo akaonekana msaliti.
Hivi mbowe na slaa wao malaika nini? Alafu wote wanatoka kaskazini nina wasiwasi hiki ni chama cha kaskazini. Alaf wote wakristo, nina wasiwasi hiki ni chama cha wakristo

Mkuu ndo umeamua kufunguka kwa style hii, ila sina hakika na madai yako.
 
Back
Top Bottom