Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Hii ndiyo shida ya WaTZ.Hajui lolote lakini anajifanya anajua.Hivi wewe unamjua Zitto kweli.Kijana huyu ni msaliti wa nafsi yake na Watanzania kwa ujumla.Hafai,hafai,hafai kabisa.Kweli usilolijua ni usiku wa giza.Kijana huyu kapokea fedha nyingi, nyingi, nyingi ili kuisaliti CDM na Watanzania.Ushahidi upo.Simpendi, simpendi kabisa.
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.
 
Niliwahi kusema miaka minne iliyopita, humu ndani ya JF, kuwa ipo sababu ya Zitto Zuberi Kabwe kuwa kibaraka wa CCM na TISS. Kipindi kile maongezi ya Zitto na TISS yalikuwa yamewekwa hadharani, kupitia gazeti la -----------.
Kama kawaida, wafuasi wake walijibu kwa matusi.
Mzazi wa Zitto (Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi), alikuwa Mrundi pasipo na chembe yoyote ya mashaka.
Mjomba wake Zitto, mstaafu wa Umoja wa Mataifa, yupo Dar ni Mrundi asiyekana utaifa wake.
(Zitto anamjua mjomba wake huyo, maarufu kwa kazi yake ya zamani, Mwalimu)
Katika mazingira hayo, TISS kum-turn Zitto ili yasimpate yale yaliyowapata wenzake kama yeye (wanaishi kwa uraia wa karatasi), siyo jambo la ajabu.
Kazi aliyotumwa ilikuwa kudhoofisha CHADEMA. Bahati mbaya CHADEMA wakamgundua na kumtenga, na baadaye wakamfukuza.
Bahati nzuri kwake Zitto, mazingira ya siasa yakabadilika, baada ya Vyama kadhaa kuunda UKAWA.
Sasa analipwa na kulelewa kwa kazi moja tu, KUPAMBANA NA UKAWA.
Matamshi ya vijana wake, kama Mwigamba, yamethibitisha hilo.
Hivyo kwa Zitto, hii ni kazi ya kufa na kupona, maana UKAWA wakipata uongozi wa nchi, Zitto lazima aombe uraia Wizara ya Mambo ya Ndani.
Bahati nzuri kwake, ana chanzo cha pesa kisichokauka, hata kama Walimu hawalipwi, makandarasi mbalimbali wa Serikali hawalipwi, Shule hazina madawati, "Mzalendo" Zitto ataendelea kuonyesha uzalendo wake kwa kula kodi za walala hoi wa Tanzania, wenye uraia halali wa nchi yao!

duh hata wewe??
 
duh hata wewe??
Najua wewe ni Mzalendo wa nchi hii.
Hili la uraia halina ubiishi.
Tukikuuliza wewe yalipo makaburi ya babu zako, naamini utatuonyesha.
Zitto hana uwezo huo.
TISS wataacha kutumia mwanya huo?
Swali, mnamsaidiaje rafiki yenu Zitto?
Anayoyafanya ya kuvuruga Ukawa siyo dhamira yake ya moyoni, bali anashurutishwa.
Wewe unajua fika kuwa kile Pasco akiitacho "karma" kinamsuta kila uchao.
 
Wewe fundimchundo Tumewachoka na hizo SERA ZENU ZA KIBAGUZI za HEKAYA ZA KUBENEA !!PELEKENI UFIPA MUWE MNAJISOMEA !! RUDISHENI FEDHA ZA RUGEMARILA 1.6Bn za kumchafua zitto.
Mwizi Rugemalila kaiba bilioni 120, kati ya bilioni 320.
Mwizi ni mwizi, kwangu mimi, Rugemalila ni mwizi na fisadi.
Zitto, kama Mwenyekiti wa PAC, anajua zilipo bilioni 200 za wizi na ufisadi huu.
KWA NINI HAZISEMI?
Au ndizo anazotumia kuzunguka nchini "kusambaza uzalendo"?
Zitto anaogopa nini kuwasema waliochukua bilioni 200?
Au anaogopa yasimfike yaliyowafika wenzake?
 
We handsome boy kumbe ni bwabwa we unajiita hb kumbe mtoto wa watu sio rizki unamsifia mwaanaume mwenzio wa bwabwa mkubwa kisamvu cha kopo
 
Na kweli kwa sababu kaanzisha ACT kwa siri na kwa fedha ambazo hazijajulikana amezitoa wapi, kwa nia ya kupanua demokrasia. Lakini sasa ACT imekumbwa na mgogoro anatafuta suluhu ya kurudi chadema. Kweli Zitto ni mzalendo....

Be serious! We are talking about a very important person here.
 
Hakika zzk ameajiri mambulula wengi sana ili kumsafisha, bahati mbaya sana huyu kijana kwa doa lake hawezi kusafishwa tena. Watanzania tumechoshwa na siasa za maji taka kama anavyofanya huyu zzk
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

Hizi ndio sifa za yyt kwenye imani nzur ya dini ya kiislam. Waislam hatuna tabia za kuogopa maumbile. Hatuna maumbile ya uwogauwoga.

Zitto ni Kijana muaminifu pia.
 
BADO HAJAWA ;WAZIRI KWA MWENDO HUU ATA HIZO SENTI 10 WANAKWAPUA;

ZITTO UPUUZI HUU HAUKUBALIKI; HII SIO SACCOS AU DESI

attachment.php
 
Hakika zzk ameajiri mambulula wengi sana ili kumsafisha, bahati mbaya sana huyu kijana kwa doa lake hawezi kusafishwa tena. Watanzania tumechoshwa na siasa za maji taka kama anavyofanya huyu zzk

watanzania gani we ndo msemaji wa watanzania sema wew ndo uliechoshwa!
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

get your life dude!
 
Siku zote ukweli unauma mjadala tayari umewagawa wachangiaji,wako wanaomuunga mkono mtoa mada,lakini pia wanaombeza.
Jambo hili ni la kawaida ktk jamii haijawahi kutokea binadamu nayekubalika kwa wote.
Lakini kwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za nchi yetu,ZITO ZUBERI KABWE tangu alipofanikiwa kupenya na kuingia bungeni ameleta mapinduzi makubwa ktk ulingo wa siasa. Hasa kwa upande wa vijana.

Amekuwa kivutio kikubwa kwa vijana na kuwafanya vijana wengi kuingia ktk siasa nakuaminiwa na viongozi wakongwe ktkt vyama vya siasa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo, vijana walibaki kuimbishwa wimbo wa vijana ni taifa la kesho.

Ameibua hoja mbalimbali bungeni Zilizokuwa na maslahi kwa taifa akiongozwa na uzalendo wa hali ya juu, hata kufikia hatua ya kuyaweka maisha yake rehani, alikuwa tayari kwa chochote lakini maslahi ya nchi yalindwe.

Hayo ni baadhi ya mengi aliyoyafanya yanayo mfanya astahili kuitwa Hazina ya taifa,
Kuna uwezekano akawa na udhaifu wake, hakuna binadamu aliyekamilika kwa akichokifanya ktk taifa hili anastahili kuaminwa, kutiwa moyo,kuungwa mkono na kusaidiwa kwa hali na mali ili aweze kufikia matarajio,na ndoto zake kwa taifa hili kwani ameonyesha njia.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.

Soma MAWIO la wiki iliyopita halafu ueleze ni hoja gani ya maana ambayo Zitto aliibua. Utasema MAWIO ni gazeti la nani lakini cha msingi ni hoja. Hakuna hoja hata moja aliyoianzisha mnayemwita hazina ya Taifa, zote alikuwa anadakia tu. Ya Escrow anayoitambia ndiye alitaka kukubaliana na ccm, kama si UKAWA kuwa imara angekuwa ametuuza.

Hazina ya Taifa asingeshirikiana na vyombo vya dola dhidi ya upinzani. Yote hayo ameshindwa kukanusha

Jamani tuipende Tanzania, tusisifie watu wasiostahili. Tuache tu muda utasema.
 
....simiyu yetu...umeenda mbali mzee...kumbuka mmoja wa wazazi wake keshatangulia mbele ya haki...mshughulike Mh: zitto yeye kama yeye...Mwacheni mama yule apumzike kwa amani

achana nae huyo huko simiyu ndo imani yao hiyo ndo maana kila kukicha wanaua wazee
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

Kweli ni hazina ya usaliti na umbea
 
Hakika zzk ameajiri mambulula wengi sana ili kumsafisha, bahati mbaya sana huyu kijana kwa doa lake hawezi kusafishwa tena. Watanzania tumechoshwa na siasa za maji taka kama anavyofanya huyu zzk

Kweli kabisa na kama huyu jamaa ni Mpinzani wa kweli kama anavyojitapa,kwanini ccm hawashindani naye! Kama vile wanavyo shindana na vyama vingine vya upinzani.ni mbumbumbu tu ndio wanaweza Kumufuata
 
Kiongozi ni kioo cha jamii, tabia za kiongozi zina reflect jamii anayoiongoza. Wananchi wengi ni wasaliti (mfano refer trends za fumanizi kama ya mwajuma mchawi. Just imagine kama mtu anaweza kumsaliti mke/mme wake pamoja na viapo vyote), wengi wanapenda kutajirika haraka, rushwa ndo usiseme, uwongo, uvumi, uvivu wa kufikiri, uzushi na fitina vimetawala kwenye jamii ya leo. Viongozi wanatoka miongoni mwa jamii hii hii alafu unategemea nini.

Zitto ni miongoni mwa viongozi wachache waliomudu kwa kiasi fulani kutoakisi jamii wanayoiwakilisha. What I mean is that we need to assess ourselves b4 pointing fingers to our leaders. Ukiambiwa uthibitishe usaliti wa Zitto unaanza kujiuma uma ndo maana hata jana wengi wamefanyia kazi uvumi wa panya roads kiasi cha kutowaita polisi kama ilivyoada.

hapo kwenye uzinzi, uongo, rushwa, uvumi na fitina hakika watanzania wengi tupo vibaya angalau wachache wetu wameweza. Sioni sababu ya kumnyooshea Zitto kidole bila ya kuonesha wapi amepotea, hapa naona wengi wamejawa na uvumi, uongo na fitina kama ulivyobainisha
 
Back
Top Bottom