Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

Yaa he is a good chap, anahitaji marekebisho madogo tunaweza kumuamini kumpa nchi siku zijazo kama hatobadirishwa na upepo wa siasa chafu.
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

Siku zote ukweli unauma mjadala tayari umewagawa wachangiaji,wako wanaomuunga mkono mtoa mada,lakini pia wanaombeza.
Jambo hili ni la kawaida ktk jamii haijawahi kutokea binadamu nayekubalika kwa wote.
Lakini kwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za nchi yetu,ZITO ZUBERI KABWE tangu alipofanikiwa kupenya na kuingia bungeni ameleta mapinduzi makubwa ktk ulingo wa siasa. Hasa kwa upande wa vijana.

Amekuwa kivutio kikubwa kwa vijana na kuwafanya vijana wengi kuingia ktk siasa nakuaminiwa na viongozi wakongwe ktkt vyama vya siasa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo, vijana walibaki kuimbishwa wimbo wa vijana ni taifa la kesho.

Ameibua hoja mbalimbali bungeni Zilizokuwa na maslahi kwa taifa akiongozwa na uzalendo wa hali ya juu, hata kufikia hatua ya kuyaweka maisha yake rehani, alikuwa tayari kwa chochote lakini maslahi ya nchi yalindwe.

Hayo ni baadhi ya mengi aliyoyafanya yanayo mfanya astahili kuitwa Hazina ya taifa,
Kuna uwezekano akawa na udhaifu wake, hakuna binadamu aliyekamilika kwa akichokifanya ktk taifa hili anastahili kuaminwa, kutiwa moyo,kuungwa mkono na kusaidiwa kwa hali na mali ili aweze kufikia matarajio,na ndoto zake kwa taifa hili kwani ameonyesha njia.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
 
Hakuna cha hazina viongozi Wa sasa ubabaishaji tu zzk anaganga njaa tu hazina walikuwa sokoine na nyerere
 
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.

Niliwahi kusema miaka minne iliyopita, humu ndani ya JF, kuwa ipo sababu ya Zitto Zuberi Kabwe kuwa kibaraka wa CCM na TISS. Kipindi kile maongezi ya Zitto na TISS yalikuwa yamewekwa hadharani, kupitia gazeti la -----------.
Kama kawaida, wafuasi wake walijibu kwa matusi.
Mzazi wa Zitto (Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi), alikuwa Mrundi pasipo na chembe yoyote ya mashaka.
Mjomba wake Zitto, mstaafu wa Umoja wa Mataifa, yupo Dar ni Mrundi asiyekana utaifa wake.
(Zitto anamjua mjomba wake huyo, maarufu kwa kazi yake ya zamani, Mwalimu)
Katika mazingira hayo, TISS kum-turn Zitto ili yasimpate yale yaliyowapata wenzake kama yeye (wanaishi kwa uraia wa karatasi), siyo jambo la ajabu.
Kazi aliyotumwa ilikuwa kudhoofisha CHADEMA. Bahati mbaya CHADEMA wakamgundua na kumtenga, na baadaye wakamfukuza.
Bahati nzuri kwake Zitto, mazingira ya siasa yakabadilika, baada ya Vyama kadhaa kuunda UKAWA.
Sasa analipwa na kulelewa kwa kazi moja tu, KUPAMBANA NA UKAWA.
Matamshi ya vijana wake, kama Mwigamba, yamethibitisha hilo.
Hivyo kwa Zitto, hii ni kazi ya kufa na kupona, maana UKAWA wakipata uongozi wa nchi, Zitto lazima aombe uraia Wizara ya Mambo ya Ndani.
Bahati nzuri kwake, ana chanzo cha pesa kisichokauka, hata kama Walimu hawalipwi, makandarasi mbalimbali wa Serikali hawalipwi, Shule hazina madawati, "Mzalendo" Zitto ataendelea kuonyesha uzalendo wake kwa kula kodi za walala hoi wa Tanzania, wenye uraia halali wa nchi yao!
 
Dr.Mendi-18April2015.jpg
 
Wewe fundimchundo Tumewachoka na hizo SERA ZENU ZA KIBAGUZI za HEKAYA ZA KUBENEA !!PELEKENI UFIPA MUWE MNAJISOMEA !! RUDISHENI FEDHA ZA RUGEMARILA 1.6Bn za kumchafua zitto.
 
Last edited by a moderator:
wewe fundimchundo tumewachoka na hizo sera zenu za kibaguzi za hekaya za kubenea !!pelekeni ufipa muwe mnajisomea !! Rudisheni fedha za rugemarila 1.6bn za kumchafua zitto.

huna lolote udini tu ndo umekujaa,pelekeni udini wenu huko mwandiga.na msangani kgm.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote ukweli unauma mjadala tayari umewagawa wachangiaji,wako wanaomuunga mkono mtoa mada,lakini pia wanaombeza.
Jambo hili ni la kawaida ktk jamii haijawahi kutokea binadamu nayekubalika kwa wote.
Lakini kwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za nchi yetu,ZITO ZUBERI KABWE tangu alipofanikiwa kupenya na kuingia bungeni ameleta mapinduzi makubwa ktk ulingo wa siasa. Hasa kwa upande wa vijana.

Amekuwa kivutio kikubwa kwa vijana na kuwafanya vijana wengi kuingia ktk siasa nakuaminiwa na viongozi wakongwe ktkt vyama vya siasa kitu ambacho hapo kabla hakikuwepo, vijana walibaki kuimbishwa wimbo wa vijana ni taifa la kesho.

Ameibua hoja mbalimbali bungeni Zilizokuwa na maslahi kwa taifa akiongozwa na uzalendo wa hali ya juu, hata kufikia hatua ya kuyaweka maisha yake rehani, alikuwa tayari kwa chochote lakini maslahi ya nchi yalindwe.

Hayo ni baadhi ya mengi aliyoyafanya yanayo mfanya astahili kuitwa Hazina ya taifa,
Kuna uwezekano akawa na udhaifu wake, hakuna binadamu aliyekamilika kwa akichokifanya ktk taifa hili anastahili kuaminwa, kutiwa moyo,kuungwa mkono na kusaidiwa kwa hali na mali ili aweze kufikia matarajio,na ndoto zake kwa taifa hili kwani ameonyesha njia.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.

ZIRO ni mpiga madili tu alivumbua hoja zipi ambazo zilifika mwisho?
 
Hazina nzuri kwa wanafiki wenzake kina Kitila na Mwigamba.

Hazina kwa wapinga mageuzi.

Zitto wa Buzwagi si Zitto wa leo.

Kisa ameondoka chadema basi amekuwa si zito wa buzwagi! chadema wanafiki sana! vipi akina Kafulila wao je!?
 
Hakuna hazina inayofanana na zitto, zitto ni mtu wakawaida sana. Bora alipoenda!
 
ZIRO ni mpiga madili tu alivumbua hoja zipi ambazo zilifika mwisho?

Hivi Zitto alimaanisha nini aliposema AMECHOKA wakati ule wa kuhitimisha mjadala wa ESCROW?

Na alilenga nini alipokubaliana na mapendekezo ya Chenge?
Shilingi yaua ndugu zangu
 
Back
Top Bottom