Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Hivi wengi mmesikiliza hiyo audio? au mnaropoka tuu? Hakuna chochote mnachoropoka hapa.
hapo kwenye uzinzi, uongo, rushwa, uvumi na fitina hakika watanzania wengi tupo vibaya angalau wachache wetu wameweza. Sioni sababu ya kumnyooshea Zitto kidole bila ya kuonesha wapi amepotea, hapa naona wengi wamejawa na uvumi, uongo na fitina kama ulivyobainisha
Kama hasingeingizwa mjini angekuwa bora sana,sasa hii ya kujiita kiongozi mkuu wakati mwenyekiti yupo, ni hatari sana,
ushahidi upi mkuu au ule waraka wa mabilioni ya ujerumani ambayo mnyika alikana kuandaliwa na kina slaa. japo ilikuwa kweli na watu kama ww una amini mpaka leo na kuja kifua mbele kujifanya unamjua zitto.Hii ndiyo shida ya WaTZ.Hajui lolote lakini anajifanya anajua.Hivi wewe unamjua Zitto kweli.Kijana huyu ni msaliti wa nafsi yake na Watanzania kwa ujumla.Hafai,hafai,hafai kabisa.Kweli usilolijua ni usiku wa giza.Kijana huyu kapokea fedha nyingi, nyingi, nyingi ili kuisaliti CDM na Watanzania.Ushahidi upo.Simpendi, simpendi kabisa.