Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Jambo la ajabu sana kwa mtu mchawi,mwizi na msaliti namba moja kuwa hazina ya taifa kwa kipi huo uchawi wake ndiyo umfanye uwe hazina.
zzk ni mfano halisi na namna wasaliti vijana walivyohoja ni kwamba jamaa ni hazina ya taifa. tuache propaganda juu ya tuhuma ambazo hata hazijawahi kuthibitishwa kwa njia inayoeleweka. jamaa anaweza na anaijua kweli siasa, mpeni moyo lakini pia mumshauri pale inpobidi ili kuipalilia hazina hii
Nafahamu vizuri ukoo wao ndiyo jambo la msingi kwao hata pale kariakoo yupo baba yake mdogo ni balaa kwa uchawi ndiyo maana siku moja alijisahau akasema hakuna wa kumgusa kwa madai ya kuwa anatoka kigoma.Vp mkuu ulihusika ktk kukabidhi mikoba nini?
Jambo la ajabu sana kwa mtu mchawi,mwizi na msaliti namba moja kuwa hazina ya taifa kwa kipi huo uchawi wake ndiyo umfanye uwe hazina.
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.
zzk ni mfano halisi na namna wasaliti vijana walivyo
zzk hafai hata kukaribia meza ya wazalendo
Tatizo la Zito ni ndumila kuwili. You wil never progress with those qualities.
Jambo la ajabu sana kwa mtu mchawi,mwizi na msaliti namba moja kuwa hazina ya taifa kwa kipi huo uchawi wake ndiyo umfanye uwe hazina.
Zitto angeomba msamaha CHADEMA iwe alifanya usaliti au la angejijengea heshma hata kimataifa.Pia kitendo cha kuipeleka CHADEMA mahakamani nimeonesha dhahili kwa yeye ni mjinga, kiburi na asiependa suruhu. Nafasi bado anayo kama ataomba msamaha bila kujali watu wamchukuliaje au watasema nini?
Acha tuseme ukweli japo unauma,Mheshimiwa Zitto Kabwe ni hazina muhimu kwa taifa hili.Mheshimiwa huyu ana upeo wa kuona mambo kwa upana wake,Anajua kujenga hoja kwa hoja, Ana uvumilivu, Ni mtaalamu wa demokrasia, Hafanyi mambo kwa kukurupuka, Ana msimamo(Hayumbishwi juu ya kile anachokiamini hata kama kinaleta mgongano wa kimasilahi), Anachukia ukandamizaji na unyonyaji, Ni mwenye kusamehe, Ni muwajibikaji, Ni mzalendo anayeweka maslahi ya Taifa mbele.nk
NB:
Maadui wake kisiasa wanajaribu kila kukicha kuipoteza hazina hii.
Hakuna uthibitisho wa madai haya hewa,zaidi mpango mkakati.
Kiongozi ni kioo cha jamii, tabia za kiongozi zina reflect jamii anayoiongoza. Wananchi wengi ni wasaliti (mfano refer trends za fumanizi kama ya mwajuma mchawi. Just imagine kama mtu anaweza kumsaliti mke/mme wake pamoja na viapo vyote), wengi wanapenda kutajirika haraka, rushwa ndo usiseme, uwongo, uvumi, uvivu wa kufikiri, uzushi na fitina vimetawala kwenye jamii ya leo. Viongozi wanatoka miongoni mwa jamii hii hii alafu unategemea nini.
Zitto ni miongoni mwa viongozi wachache waliomudu kwa kiasi fulani kutoakisi jamii wanayoiwakilisha. What I mean is that we need to assess ourselves b4 pointing fingers to our leaders. Ukiambiwa uthibitishe usaliti wa Zitto unaanza kujiuma uma ndo maana hata jana wengi wamefanyia kazi uvumi wa panya roads kiasi cha kutowaita polisi kama ilivyoada.
Hakuna panya atakabaki.... hashafishiki hata kwa jiki.
Tokwa mapovu tu hapa, tunamjua. Muandalieni tena press conference na mapokezi makubwa kigoma.