Mh. Wenje umenitukania baba yangu

Mh. Wenje umenitukania baba yangu

ukisikia paa ujue imekupata wewe na baba yako tumieni akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi

Kwasababu umetaka tujue kwamba baba yako yumo pale mjengoni' sasa funguka zaidi, tuambie jina lake ili tupime kama nae kilaza na mchumia tumbo kama wengine au anaweka mbele maslahi ya taifa? Kwakusikiliza hoja zake tutajua kama huu utetezi wako una mashiko au nawewe ndo walewale?
 
Hujui baba yako ni yupi wewe! Njoo tukuonyeshe baba yako
 
Baba ako tena? Kwani akiwa baba anakosa sifa za kupokea rushwa? Vingapi ambavyo baba ako anafanya na hujui? We unayofanya yote watoto wako wanajua?

Mambo mengine huhitaji kumsemea mtu, we mtu mzima bwana mwache mzee ale rushwa

Mkuu hata kama ni rushwa sitegemei mtu kama mbunge posho anayopata adanganyike kwa kitu kama chakula.
Rushwa ya chakula sio kwa mtu mwenye hadhi ya ubunge.
 
Mkuu hata kama ni rushwa sitegemei mtu kama mbunge posho anayopata adanganyike kwa kitu kama chakula.
Rushwa ya chakula sio kwa mtu mwenye hadhi ya ubunge.

Define the term rushwa (2 Marks)
 
Kwasababu umetaka tujue kwamba baba yako yumo pale mjengoni' sasa funguka zaidi, tuambie jina lake ili tupime kama nae kilaza na mchumia tumbo kama wengine au anaweka mbele maslahi ya taifa? Kwakusikiliza hoja zake tutajua kama huu utetezi wako una mashiko au nawewe ndo walewale?

Point si kujua umahiri wa baba yangu pengine huenda ndio wale ktk kura 7 zinazoharibika.
 
Mkuu hata kama ni rushwa sitegemei mtu kama mbunge posho anayopata adanganyike kwa kitu kama chakula.
Rushwa ya chakula sio kwa mtu mwenye hadhi ya ubunge.

Unamtetea sababu ni baba yako na wewe unashindia kodi zetu unakuja kuongea upupuwako hapa nyoko wewe?? Asingekuwa?? Sasa kwa taarifa yako baba yako kala sahani mbili, kavimbiwa analala tu bungeni hakuna cha hoja!! Mfikishie salamu zetu, watatapika hiyo misosi na posho zetu watarudisha tu.
 
Kula wamekula na wao wanakubali tena wamekunywa sana . Sasa kama ilikuwa ni hongo au hapana walitakiwa waseme walizungumza nini wakati wanakula na kupewa makuku na mabia mpaka baadhi wakashindwa kunyanyuka. Dunia ya sasa haina siri. Masikini unajua wengi wa 201 si wanasiasa hivyo siri zao zitakuwa nje nje.
 
Sasa waliowapa chakula wamekubali kula ubwabwa baba yako atakataa nini mwambie aache kutumiwa kwa njaa zake

Tambua maisha ya Tanzania yalivyo mila dasturi zao.
Kuna watanzania wapo ktk nchi hii wanatamani walau siku moja wale na rais,wapige picha hata kama wanatofautiana kimtazamo na sera zao.
 
Babako kaacha kulala saa saba usiku eti anaenda kula duh nikaona yule mwakilishi wa wafugaji kaamka kwa jazba sana anasema waliendea kuchukua msimamo kwa waziri maghembe ina maana hajui anaenda kufanya nini. Pia wawakilishi wa idara za elimu eti wanaenda kumuona waziri kawambwa ili wapate msimamo wa pamoja kweli ndio tuliwatuma mkafanye mjadala wa usiku
 
Huyo babako hasara tupu...cjui mijitu mengine kikwete aliwaokotea wapi?hovyo sna.inatia kichefuchefu
 
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi

Kati ya kitu kilichonifedhehesha na kunichukiza ni hiki kitendo cha hawa wajumbe kuanza kuwatembelea mawaziri eti kw kuwa wakati mwingine huwa hawapatikani kirahisi!!!! Ujinga kama huu nani auvumilie, tumewalipa posho waende kututengenezea katika wao viguu na vjia kwa mawaziri!!!! Wamesahau kuwa ni hao hao mawaziri waliitwa mizigo na wanaenda eti kuwauliza wao wana maoni gani???? Hivi kweli hawa wanajitambua? hivi wanajua tume ya warioba ilikutana na viongozi wakatoa maoni yao? Tuna safari ndefu sana watanzania na hii tabia ya kujikomba kwa viongozi kana kwamba watatawala milele. Ni bora jana nisingisikia huu upuuzi maana imani yangu kwa 201 sasa ni 0.001% Wengine nimewasika leo kwenye redio flani wakisema eti ni wawakilishi wa elimu ya juu kwa hiyo walienda kuonana na waziri wa elimu wajue anataka nini!! Msomi wa Tanzania anakua mbu...mbu hivi jamani? Hadi kichefuchefu
 
Point si kujua umahiri wa baba yangu pengine huenda ndio wale ktk kura 7 zinazoharibika.

Sijazungumzia umahili wake' Bali nataka tupime hoja zake. Ili kwakupitia hoja zake tupime kama kweli WENJE hakumtendea haki na pia tupime huu utetezi wako anastahili?
 
Eti wanaend kuchukua misimamo kwa waziri.km hawajui walichokifuata mpak wachukue msimamo kw wazir basi hakuna hajayawao
 
Eti kuchukua misimamo kwa waziri.km hawajui walichokifuata mpak wachukue msimamo kw wazir basi hakun hajayawao Mjengon
 
Sijazungumzia umahili wake' Bali nataka tupime hoja zake. Ili kwakupitia hoja zake tupime kama kweli WENJE hakumtendea haki na pia tupime huu utetezi wako anastahili?

Hata hicho kipimo cha hoja zake kwako wewe kinaweza kisiwe sahihi. Kwa maana pengine atakacho yeye si utakacho wewe.
Labda wewe unataka serikali 2 yeye anataka 3 unafikiri utaona umuhimu wa hoja zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom